Majibu hayo ni kuwa kwa sasa aliyepimwa haonyeshi dalili ya maambukizi ya VVU hivyo aendelee na kujilinda kwa kuhakikisha anachukua tahadhari zote walizoongea na mshauri ..risk reduction plan na kurudia kipima baada ya muda ya aliopangiwa kupima tena kutegemea na jinsi mshauri alivyompa appointment.
Hapana hata ingekuwepo mistari miwili bado mshauri hashauriwi kutoa majibu bila kufanya uhakiki katika kipimo kingine kinachoitwa UniGold ambacho hicho sasa kitakapo shabihiana na majibu hayo ya kipimo cha awali ndipo tunaposema mtu huyu ana maambukizo ya VVU.Hiyo inasoma Control. Means uko fit as long as ni HIV test. Ingesoma viwili au huko kwenye T baba ungekuwa tayari uandae ela za kwenda kumezea ARVs
Ahsante sana mkuu
SafiHapana hata ingekuwepo mistari miwili bado mshauri hashauriwi kutoa majibu bila kufanya uhakiki katika kipimo kingine kinachoitwa UniGold ambacho hicho sasa kitakapo shabihiana na majibu hayo ya kipimo cha awali ndipo tunaposema mtu huyu ana maambukizo ya VVU.
Lakini kikisoma NEGATIVE kipimo cha UniGold then majibu ya mgonjwa ni False Positive kwa hiyo tunampatia majibu ya hakuna maambukizi kwa wakati huo na atarudi tena kupima muda atakaopangiwa na mshauri.
Maana ya FALSE POSITIVE ni kuwa kipimo kinaweza kuwa kime react na kuwa positive kimakosa kwa sababu zifuatazo
- makosa ya kutafsiri kipimo kwa mpimaji
- kuchanganyika kwa sampuli za damu za wagonjwa tofauti kwa kutokuwa makini...cross contamination of blood samples
- Ubora wa kipimo chenyewe wakati wa uzalishaji wa vipimo hivyo
Nimeelewa mkuu..Kwanini umechagua njia hii ya kila mtu kukupa majibu ya kipimo chako? Yaani umeamua hata wajinga wakupe majibu? Usifanye hivi bana next!!
HUNA MALARIA