BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Utafanyia transplant watu wangapi bwashee (ikiwa 20% ya watanzania wana kisukari?). Hayo makongosho 12,000,000 ya kuwafanyia transplant hao wagonjwa 12m utayapata wapi?Habari za majukumu wana jukwaa?
Nimekuwa nikijiuliza hili swali. Ikiwa ugonjwa wa kisukari ni matokeo ya organ ya kongosho kushindwa kuzalisha kimeng'enya cha insulin cha kutosha kwenda ku balance kiwango cha sukari kwenye damu, je haiwezekani muathirika wa hili tatizo akafanyiwa upasuaji ikaondolewa hii kongosho iliyoshindwa kazi yake akawekewa nyingine nzima na tatizo likawa limetibika kwa namna hiyo?View attachment 2817963
Nilichotaka kujua ni ìkiwa kisukari kinaweza kutibiwa kwa transplant ya kongosho kuhusu linapatikanaje hiyo ni issue nyingine. Kuna nchi wana form unajaza ikiwa utafariki ghafla wanaruhusiwa kuvuna organ zako za muhimu wanazihifadhi kwa ajili ya kuja kuwapa wahitaji baadae so supply ya organ sio issue sanabinadamu ana kongosho moja sio kama kidney tunazo mbili kwahyo mtu anaweza kuwa donor akatoa kidney moja akampa mwenye sida ya kidney na wote wakaishi. Je wewe kongosho limefail nani atoe kongosho lake moja akupe wewe ili uishi na yeye afe kwa kutokua na kongosho.
ni kama ubongo kila mtu anao ubongo mmoja, je mtu akiwa kichaa kwanini asifanyiwe transplant ya ubongo mwingine ebo ?! (Japo sina hakika juu ya uwezekano wa transplant ya ubongo, ila tufikiri inawezekana) Huo ubongo mwingine unautoa wapi ??!
Mkuu wewe unakula nini? Je kama kongosho likipatikana ukawekewa unaweza kupona kisukari, ndo hoja yangu ilipo.Utafanyia transplant watu wangapi bwashee (ikiwa 20% ya watanzania wana kisukari?). Hayo makongosho 12,000,000 ya kuwafanyia transplant hao wagonjwa 12m utayapata wapi?
Mkiambiwa acheni kula michipsi, miugali na mawali hamtaki. Fanyeni mazoezi hamtaki. Eti mnataka transplant. Pambaneni na hali zenu.
Tutachukua ubongo wa waisrael wanaounana kibwege hukobinadamu ana kongosho moja sio kama kidney tunazo mbili kwahyo mtu anaweza kuwa donor akatoa kidney moja akampa mwenye sida ya kidney na wote wakaishi. Je wewe kongosho limefail nani atoe kongosho lake moja akupe wewe ili uishi na yeye afe kwa kutokua na kongosho.
ni kama ubongo kila mtu anao ubongo mmoja, je mtu akiwa kichaa kwanini asifanyiwe transplant ya ubongo mwingine ebo ?! (Japo sina hakika juu ya uwezekano wa transplant ya ubongo, ila tufikiri inawezekana) Huo ubongo mwingine unautoa wapi ??!
ok nimekupata mkuu in that case its possible but yote ya nini nadhani ni bob Marley aliwahi kusema "if life has come jo an end, why struggle to extend it, while even if succesful it shall surelly end soon or later...., there is no joy in extending life"Nilichotaka kujua ni ìkiwa kisukari kinaweza kutibiwa kwa transplant ya kongosho kuhusu linapatikanaje hiyo ni issue nyingine. Kuna nchi wana form unajaza ikiwa utafariki ghafla wanaruhusiwa kuvuna organ zako za muhimu wanazihifadhi kwa ajili ya kuja kuwapa wahitaji baadae so supply ya organ sio issue sana
Mimi nakula viazi vitamu, mihogo, ndizi, magimbi, kuku, samaki, mchicha etcMkuu wewe unakula nini? Je kama kongosho likipatikana ukawekewa unaweza kupona kisukari, ndo hoja yangu ilipo.
Hamna sina nimejaribu tu kuwazamkuu uko na kisukari ?
Shukrani kwa elimu, umefafanua vizuri sanaKabla ya kujibu swali lako naomba tufahamu kidogo aina za kisukari, kuna:
- kisukari cha kupanda: kisukari hiki husababishwa na kongosho kushindwa kutoa hormone ya insulini ambayo husaidia kupunguza sukari kwenye damu. (Mtoa mada unamaanisha kisukari cha aina hii)
- kisukari cha kushuka: hiki husababishwa na upungufu wa ADH (Antiduretic hormone) ambayo huusika na kufanya reabsorption ya sukari na maji katika figo, mgojwa huyu hupata mkojo wa mara kwa mara hivyo kupoteza sukari nyingi kwa njia ya excretion (urination)
Lakini pia tufahamu kuwa kisukari kinaweza kurithiwa kutoka kizazi kimoja kwenda kingine kama magonjwa mengine ya kurithi au ukapata kutokana na sababu zingine za mtindo wa maisha, chakula au umri.
HOJA YA MATIBABU YA KUPANDIKIZWA KONGOSHO.
Matibabu ya upandikizaji wa kongosho yatawezekana pale ambapo "kongosho peke yake" ndio inatatizo la kushindwa kuzalisha hormone ya insulini na si vinginevyo. KWANINI?.
- Ili insulin izalishwe lazima ipate taarifa kutoka kwenye tezi kuu katika ubongo (Hypothalamus). Lakini tezi hii kuu (Hypothalamus) ikishindwa kutoa taarifa hii, Basi hata kongosho ikiwa na hali nzuri kiasi gani haiwezi kuzalisha hormone ya insulini, hvyo hata ukibadilishiwa kongosho mpya, huwezi kupona kusukari.
- Upatikanaji wa Organ kongosho pia ni si rahisi kwa sababu lazima upate mtu ambaye hana uhitaji wa kongosho hio (just like heart transplant).
Wajuzi zaidi wataongezea nyama!!
Ahsante!!!
you can reverse or manage diabetes by doing the following ()makali ya kisukari):Habari za majukumu wana jukwaa?
Nimekuwa nikijiuliza hili swali. Ikiwa ugonjwa wa kisukari ni matokeo ya organ ya kongosho kushindwa kuzalisha kimeng'enya cha insulin cha kutosha kwenda ku balance kiwango cha sukari kwenye damu.
Je, haiwezekani muathirika wa hili tatizo akafanyiwa upasuaji ikaondolewa hii kongosho iliyoshindwa kazi yake akawekewa nyingine nzima na tatizo likawa limetibika kwa namna hiyo?
Bora kupandikisa seli sa kutengeneza insulini
Habari za majukumu wana jukwaa?
Nimekuwa nikijiuliza hili swali. Ikiwa ugonjwa wa kisukari ni matokeo ya organ ya kongosho kushindwa kuzalisha kimeng'enya cha insulin cha kutosha kwenda ku balance kiwango cha sukari kwenye damu.
Je, haiwezekani muathirika wa hili tatizo akafanyiwa upasuaji ikaondolewa hii kongosho iliyoshindwa kazi yake akawekewa nyingine nzima na tatizo likawa limetibika kwa namna hiyo?