Ritchy Breezy
JF-Expert Member
- Dec 9, 2020
- 479
- 727
Sina ujuzi sanaaa ila niliwahi kusoma sehemu kwamba kuna aina mbili za uume yaani growers na showersHabari wana JF
Nina changamoto moja katika via vyangu vya uzazi, uume wangu ni mdogo sana unakua ka wa mtoto hasa kukiwa na baridi au nkitoka kuoga ila ukisimama unakuwa vizuri tu nilishaga wahi kuupima siku 1 nikapata inchi 6.2 urefu.
Changamoto inakuja pale napokua na bibie halafu aombe tuende bafuni wote kuoga naona so sana kutokana na hali ya uume wangu kuwa mdogo sana ukiwa umelala hasa kukiwa na baridi au kuguswa na kitu cha baridi hasa maji.
Kwa anayefahamu kitaalamu hii imekaaje wakurungwa
Sioni tatizo coz hapa tnatumia id fake mkuuHivi umepataje ujasiri wa kuandika kitu kama hiki very personally issue
Come on MEN
Akili yako na uandishi wako zinafanana.Sioni tatizo coz hapa tnatumia id fake mkuu
Akili yako na uandishi wako zinafanana.
Goodluck
Ok saw mwamba
Iko wazi boy,acha niendlee kuwapelekea motoWee mpe show ya kutosha mkienda kuoga huo udogo hatouona, bali akiangalia atakuwa anaiona kama K47