Mkuu, unapocompare wachezaji idad ya magoli unapaswa kuweka na mech walizocheza, fanya hvyo wadau tuchangie.Tuchukue misimu miwili ya Kagere alipojiunga Simba tuache misimu inayofuata ili tumlinganishe na Mayele.
Msimu wa Kwanza Kagere ana magoli 23...
Usingemjibu huyo mbumbumbu,hata kanuni za takwinu hazijui.Mkuu ,unapocompare wachezaji idad ya magoli unapaswa kuweka na mech walizocheza, fanya hvyo wadau tuchangie.
Uzi umeleta wewe na takwimu zako za kimbumbumbu halafu unataka tukusaidie data tena? Mbumbumbu Pro Max weweNdo maana nikasema hapo juu tusaidiane takwimu kama huna la kuchangua unakurupuka nini nyau kweli
Mkuu umetumia silaha nzito sana hapa.Pyramid wametoa bil 3 kumchukua mayele. Kagere yupo singida united.
Weka takwimu zao.Mayele ni fala tu kwa Meddie.
Sasa ukiitwa mbumbumbu ndiyo umtukane mtu matusi ya nguoni! Mbona Mwenyekiti wenu mstaafu alipowaita mbumbumbu kwenye ule mkutano wenu, hamkumtukana?Alianza nani?vyura mnajua kuteteana
We leta Kila kitu hapa tudadavueNdo maana nikasema hapo juu tusaidiane takwimu kama huna la kuchangua unakurupuka nini nyau kweli
π€π€π€π€π€π€Pyramid wametoa bil 3 kumchukua mayele. Kagere yupo singida united.
Mashabiki wa Simba wa kuwatilia maanani kwa nyuzi na comments humu jukwaani ni Scars , CAPO DELGADO GENTAMYCINE Greatest Of All Time na wengine wawili au watatu hivi.Mashabiki wa simba mnapenda sana kutukana! Huwa hamuwezi kabisa kumjibu mtu kwa hoja, isipokuwa kwa kuporomosha matusi ya nguoni.
Hata wewe ukiweka uzi mtu akuite nyani kama Lucy alivyosema lazima utareact.Sasa ukiitwa mbumbumbu ndiyo umtukane mtu matusi ya nguoni! Mbona Mwenyekiti wenu mstaafu alipowaita mbumbumbu kwenye ule mkutano wenu, hamkumtukana?
Tutapataje dk walizochoza, maana hata kama timu ni 20 mechi zinaweza kuwa chache kuliko Mayele ,Mayele kila mechi alikuwepo, nadhani hata haizidi mechi nne ambazo hakwepo kwa misimu miwili aliyochezaKagere alifunga hayo magoli yote kipindi kile ligi ina timu 20. Kagere alifunga hayo magoli kipindi mshindi wa ligi anakula mil 80 sio sasa ambapo kila timu kwenye ligi inapata mgao wa haki za matangazo.
Yani kiufupi kipundi hiko kulikua na ukata sana
Hata Pogba alinunuliwa dau kubwa kutoka Juventus na Man U lakini alipofika Man U hakuwa na maajabu, kuna wachezaji wana mawakala wazuri na wananunuliwa kwa hela ndefu lakini kitakwimu wanazidiwa, Ronaldo kwenda Al Nasri siyo kwamba ni bora kuliko wenginePyramid wametoa bil 3 kumchukua mayele. Kagere yupo singida united.
Kureact kupo. Ila tusitukanane bhana matusi ya nguoni. Maana matusi ya nguoni yanaondoa ile dhana ya utani wa jadi.Hata wewe ukiweka uzi mtu akuite nyani kama Lucy alivyosema lazima utareact.
Turudi kwenye takwimu kujenga hoja
Mzee unaongea kishabiki kumbe, unatak kusema katika mechi 72 za misimu 2 mayele hajacheza mech 4 tu?Tutapataje dk walizochoza , maana hata kama timu ni 20 mechi zinaweza kuwa chache kuliko Mayele ,Mayele kila mechi alikuwepo,nadhani hata haizidi mechi nne ambazo hakwepo kwa misimu miwili aliyocheza