Je, kitovu cha mtoto kikikatika na kuanguka kwenye uume wake anaweza kuwa hanisi au ni tamaduni?

Je, kitovu cha mtoto kikikatika na kuanguka kwenye uume wake anaweza kuwa hanisi au ni tamaduni?

kevin cuzo

Senior Member
Joined
Nov 9, 2017
Posts
105
Reaction score
106
Habari za usiku ndugu zangu wa jf nilikuwa nataka kujua ukweli kuhusu kwamba "mtoto wa kiume pindi kitovu chake kikikatika kikaangukia kwenye uume wake wanadai kwamba mtoto anakuwa hanisi (adindii) je kwenye masala ya kiutaalam ni kwelii au ni tamaduni zetu tu ?

Nawakilisha[emoji120]
 
Back
Top Bottom