Je kitu gani cha kipumbavu zaidi ulishawahi kukifanya

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Je kitu gani cha kipumbavu zaidi ulichowahi kukifanya?

Binafsi kulala na mwanafunzi mwenzangu(Ke) wakati niko sec bwenini na kujisahau mpaka kukutwa Asubuhi yake na matroni,

Hakika nilichapika plus suspension mwisho wa siku nilijiona bonge la mpumbavu kwa nini sikugemua tu na kusepa usiku ule ule.

CC Zero IQ
 
Kupgana na Pka[emoji23][emoji23][emoji23]

°•°Faith •Hope •Charity•°•
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…