geekizuri02
Member
- Oct 16, 2022
- 18
- 60
Katika igamimg industty tunaona kwamba kampuni nyingi sana zinakuja kwa kasi hasa katika nchi yetu hapa Tz, kuna vivutio vingi sana kwa wateja ili kubet na haya makampuni.
Ukiachia mbali michezo yenye kulipa kama hii Live casinos na online slots nahitaji kufahamu kama kuna kampuni inatoa ziada au bonus kwa wateja wao aidha nicheze labda nikapoteza au labda ndo mteja mpya ushawishi uko vipi?