Meneja CoLtd
Senior Member
- Mar 6, 2021
- 122
- 143
Kiwanja cha futi 40 kwa futi 50 ni sawa na kiwanja cha mita 12 kwa mita 15.Habari zenu wana JF!
Baada ya kuwaza sana kuhusu hivi viwanja vya mikopo vinavyouzwa, vyenye ukubwa wa Futi 50 Kwa 40 kama je, vinatosha kujenga nyumba?
Kwangu Mimi nimeona itatosha endapo pale mnunuzi atakua hana mambo mengi.
Kama vile kujenga vyumba vinne, choo cha ndani na sebule Kwa vipimo hivi nilivyotumia.
mafundi naomba mnipe msaada hapa kwenye hii ramani yangu, je inakidhi vigezo?View attachment 3166686
Shukrani bossHizo ni 180 sq.metres:Kwa Nyumba ya Makazi inatosha,unahitaji architect Makini ambapo Sq.m 100 inakupa Vitu Mhimu:Living room,Jiko na store...
Hivyo hivo kwa kijibana nasisi tujengeKiwanja cha futi 40 kwa futi 50 ni sawa na kiwanja cha mita 12 kwa mita 15...