Je kiwanja chako kina mgogoro?,,unahitaji kujua namna migogoro ya ardhi inavotatuliwa?

Mkuu hivi kwa mfano kiwanja kiko Msunkumilo huku Rukwa hujataja eneo maalum ambalo una uwezo nalo
 
Mkuu hujaeleweka vipi anatoa ushauri wa kisheria au wewe ni muwakilishi wa manispaa funguka tuelewe vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…