Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Juni 2022: Alizua hasira nchini Zambia, nusura show yake izuiwe kufuatia dharau kwa waandishi wa habari na kumsukuma shabiki yake mmoja aliyejaribu kumpa Maua wakati akiwasili Uwanja wa Ndege.
Julai 2022: Alizomewa na Mashabiki Maryland nchini Marekani baada ya kuchelewa kwa masaa manne na kusababisha kutupiwa vitu wakati akitumbuiza jukwaani.
Julai 2022: Aliwakasirisha mashabiki wa Denver nchini Marekani baada ya kuifuta show yake ambayo aliyakiwa kuifanya na kupelekea mashabiki kutumia mitandao ya kijamii kumshambulia.
August 2022: Aliwasili Tanzania saa chache kabla ya show huku akishindwa kutumbuiza kwa sababu mbalimbali ikiwemo begi lenye mavazi kusahaulika Airport alikotoka.
Ninini hasa kimo kwenye mkufu wake mmoja wa dhahabu mpaka akaghairi kuimba hadi auvae!?