Je, Kizz Daniel anafikia tamati?

Ni kweli hayo yote lakini mbona wakati yupo G worldwide alikuwa na hit nyinginezo pia
Woju
Laye
Mama
Yeba

Hizi zote zilifanya powa tu nadhani ana tatzo la kama ego fulani hivi anakuwa nayo.
Yes mimi ni shabiki yake huyu dogo tangu siku namjua baada ya kuiona Laye kwenye channel ya Star music tangu hapo nikaanza kumfuatilia kabla hata hajatoka G worldwide lakini tuseme tu ukweli hizo song ulizotaja ni nzuri na hata mimi nazipenda hasa Laye ila hazifikii uzito wa Buga,buga imevuka mipaka sana hii ni sawa na kusema Davido Skelewu ni Hit song lakini If au fall zimeenda mbali zaidi ya kuwa hit song nadhani ndio nilimaanisha hivi..Huyu jamaa ndio ana hiyo ego ya maringo hata wanaijeria wenzio wanammaindi na hiyo ego ndio imefanya mpaka G worldwide wakavunja nae mkataba kikatili kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe mnaumia na kuteseka mnoooo?? Mbna bado muda wa kutoa kilio chenyewe??? Wazamiaji??? Akati wako ktk CAFCL hati hati mnakutana nae

Jmos tunawapiga na mzungu wenu mliopewa km Zawadi.
Wale ni wazamiaji ni timu ya kanisa huko nchini Ethiopia..msimu uliopita walishika nafasi ya nne kutoka mwisho chupuchupu washuke daraja
 
Umesema kweli st music walikuwa wanapenda sana kupiga huo wimbo.

So far buga imekwenda mbali sana sio siri, naona kama ngekewa imemuendea na hii ndiyo nafasi ya yeye kurudi kwa kasi
Lakini anazingua sana huyu jamaa.

Hope atabadilika.
 
Drugs ndio sababu,haswa bangi/skanka
 
Ila Leo nilicheka Sana na comments za wabongo kwa page ya kizz....hakuna siku nimecheka tangu week ianze Kama leo..kizz amejua kuchachua watz🙌
 
Nilimkubali sana kipindi anatumia Kiss Daniel na wimbo wake 'pick up'
Sasa amelewa sifa .. zinampoteza
 
Wale ni wazamiaji ni timu ya kanisa huko nchini Ethiopia..msimu uliopita walishika nafasi ya nne kutoka mwisho chupuchupu washuke daraja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unaijua St George?? Au umehadithiwa??
Unachekesha mnooo lol.
 
Mnamshobokea sana!
 
Wanaijeria wanatutukana kule Twitter sababu ya huyu mjomba. Yaani hii Africa sijui tumewakosea nini wenzetu, yaani we acha tu.
 
Huyu hana tofauti na baraka da prince wanaviiimba kila kona ana complain.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…