Je, Klynn bado yupo kwenye fani?

Je, Klynn bado yupo kwenye fani?

je huyu Klynn bado ni mwanamziki?huu wimbo hope huwa anauimba usiku wakiwa na mzee wake...
 
lakini mziki nao ni biashara...angeendelea nao!!

Mkuu mziki wa kibongobongo unahitaji uvumilivu sana, angalia akina Bushoke, Dudu baya, Lamira Lanee, Mr, Nice, matonya, na wengine wengi. Ukiona hupati sana support kwa mashabik tafuta biashara zingine. alisona alama za nyakati
 
Back
Top Bottom