uzeebusara
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 657
- 514
Habari zenu!
Baada ya kukaa nje kwa muda toka alivyopishana na bodi na wachezaji wa klabu ya Chelsea Fc hatimaye kocha mwenye mzuka wa kushangilia na mbinu nyingi amerejea tena lakini katika ligi ya Italia. Na kwa sasa katika klabu ya Inter milan!
Wachambuzi na wajuzi wa soka mnalionaje hili kwa soka la Italia lililotawaliwa sana na klabu ya Juventus. Je Antonio Conte atamaliza ufalme wa Juventus katka ligi hii kwa msimu ujayo au itachukua muda sana?
Njooni tujadili hili!