uzeebusara
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 657
- 514
Si rahisi.
Antonio Conte ni kocha mzuri sana ila ana tatizo la kugombana na wachezaji Sana. Mfano saiv kasema amtaki Icard ndo maana anamtaka Lukaku
Antonio Conte anakwenda kuwatuliza Juventus. It is about time
Anaanza na recruitment ya watu anaodhani watamfaa. Lukaku wa kwanza😄. Harafu ana uzoefu huko. Misimu mitatu Juve alitwaa ndoo mfululizoTeknikali jamaa ni mzuri sana, lkn je pale Inter Milan pana watu sahihi kwake kufit ktk mfumo wake jp hata mie naona kama uzoefu wa ile ligi pia utambeba sana
Hapo hajagombana mkuu, ila anaweka mipanho yake mapema nani wa kufanya nae kazi.Antonio Conte ni kocha mzuri sana ila ana tatizo la kugombana na wachezaji Sana. Mfano saiv kasema amtaki Icard ndo maana anamtaka Lukaku
Anaeza kwa maana ni kocha mwenye mbinu nyingi ..yani anaweza kutumia mifumo miwili tofauti ndani ya mechi moja na zikafanikiwa.Ila hy Icardi si kuna wakati alitaka kuweka mgomo kushinikiza auzwe? Anyway, jamaa ni muumini wa nidhamu ya juu sana labda hii inachangia kutofautiana na wachezaji. Ila swali linabaki je atakomesha ufalme wa Juve?
Ni sababu zipo hasa zinazochangia Juventus kutawala soka la Italia ukiachana na uwekezaji wake kwa wachezaji? Je klabu kama As Roma, Ac, Inter Milan et al zilikosa makocha sahihi au pesa? Au wachezaji wasio viwango?