GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
GENTAMYCINE sikutaka kumdharau huyu Kocha Mkuu wa Taifa Stars Adel Amrouche, ila kwa jibu alilolitoa baada ya kuulizwa kwanini anapenda kukificha Kikosi chake cha Taifa Stars kutokukitaja kwa Watanzania na kujibu kuwa anafanya hivyo kwakuwa akikitaja Waandishi wa Habari, Wachambuzi Wadadisi na Werevu (akina GENTAMYCINE na baadhi) na Watanzania watakijadili, watakikosoa na kitawavunja moyo wachezaji wake na watafungwa na timu pinzani hakina nimelazimika rasmi kumdharau pamoja na waliomuajiri.