GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Anaendelea kuwa Senior Nut like You.ukimdharau anapungukiwa nn bro
Ila kocha kwa hili lazingua sana, timu ya taifa ni yetu siyo familia yake. Juu ya yote tunatakiwa kuwajua mabalozi wetu wanaoenda kutuwakilisha.View attachment 2779618
GENTAMYCINE sikutaka kumdharau huyu Kocha Mkuu wa Taifa Stars Adel Amrouche, ila kwa jibu alilolitoa baada ya kuulizwa kwanini anapenda kukificha Kikosi chake cha Taifa Stars kutokukitaja kwa Watanzania na kujibu kuwa anafanya hivyo kwakuwa akikitaja Waandishi wa Habari, Wachambuzi Wadadisi na Werevu (akina GENTAMYCINE na baadhi) na Watanzania watakijadili, watakikosoa na kitawavunja moyo wachezaji wake na watafungwa na timu pinzani hakina nimelazimika rasmi kumdharau pamoja na waliomuajiri.
Hivi TFF si ina Afisa habari? Kazi yake nini kama siyo kumuandalia Kocha vikao na waandishi wa habari? Je, tuna uhakika Clifford anaandaa hivyo vikao ila Amrouche ndo anakataa?View attachment 2779618
GENTAMYCINE sikutaka kumdharau huyu Kocha Mkuu wa Taifa Stars Adel Amrouche, ila kwa jibu alilolitoa baada ya kuulizwa kwanini anapenda kukificha Kikosi chake cha Taifa Stars kutokukitaja kwa Watanzania na kujibu kuwa anafanya hivyo kwakuwa akikitaja Waandishi wa Habari, Wachambuzi Wadadisi na Werevu (akina GENTAMYCINE na baadhi) na Watanzania watakijadili, watakikosoa na kitawavunja moyo wachezaji wake na watafungwa na timu pinzani hakina nimelazimika rasmi kumdharau pamoja na waliomuajiri.
Lazima watu wawachambue wachezaji, maana ni wawakilishi wetu. Hata huko kwa Malkia Getilakusini anakula za uso kwa kuendelea kumbeba shemejiye Magwaya, yaani humwambii kitu.Hivi TFF si ina Afisa habari? Kazi yake nini kama siyo kumuandalia Kocha vikao na waandishi wa habari? Je, tuna uhakika Clifford anaandaa hivyo vikao ila Amrouche ndo anakataa?
Isijekuwa ni siasa za kitanzania kuficha Wachezaji ili kuepusha ubishi wenu usio na faida wa timu ipi Kati ya Simba na Yanga imetoa Wachezaji wengi?
Kweli kabisa, ni kulianzisha. Wote tunapenda mpira sema wanajitambua ni wachache.Shida ni kwa wananchi!! Ina maana leo hii watu wakjitokeza na kusema kama utaratibu ndio huo, hiyo sio timu yetu, na itakapokuwa inacheza hatuendi uwanjani, au tukienda tunashabikia timu ngeni, huo ujinga utaendelea? Unaficha kikosi ili kuepuka ukosoaji? Lakini kwakuwa wanaojitambua wengi hawapendi mpira, na wasiojitambu ndio wanapenda mpira.
Hiyo ndio dawa!! Huo ni ujinga timu yetu, harafu eti inaitwa kimya kimya, yote ni kukwepa ukosoajji tu, mbona dunia nzima, ukosoaji upo tu!! Dawa yao ni hiyo tu, hakuna kwenda uwanjani au mkienda mnashabikia timu pinzani tu, ubaya ubaya tu.Kweli kabisa, ni kulianzisha. Wote tunapenda mpira sema wanajitambua ni wachache.
Humo humo.....Hiyo ndio dawa!! Huo ni ujinga timu yetu, harafu eti inaitwa kimya kimya, yote ni kukwepa ukosoajji tu, mbona dunia nzima, ukosoaji upo tu!! Dawa yao ni hiyo tu, hakuna kwenda uwanjani au mkienda mnashabikia timu pinzani tu, ubaya ubaya tu.