K kamug Member Joined Nov 12, 2016 Posts 21 Reaction score 11 Mar 14, 2017 #1 Samahan Wana jf,,, ninaomba kuelewesha Kama kweli kondomu inazuia mimba na ukimwi,, Karbu
Twilumba JF-Expert Member Joined Dec 5, 2010 Posts 12,576 Reaction score 14,522 Mar 14, 2017 #2 kamug said: Samahan Wana jf,,, ninaomba kuelewesha Kama kweli kondomu inazuia mimba na ukimwi,, Karbu Click to expand... Endelea kwenda dry chama kwa mwalimu utafika salama!
kamug said: Samahan Wana jf,,, ninaomba kuelewesha Kama kweli kondomu inazuia mimba na ukimwi,, Karbu Click to expand... Endelea kwenda dry chama kwa mwalimu utafika salama!
mrs fiance JF-Expert Member Joined May 24, 2016 Posts 352 Reaction score 163 Mar 14, 2017 #3 Njia salama ni kwenda hospital na kuchek afya zenu tu.... Mkishajua afya zenu wote mtakuwa huru zaidi.
Njia salama ni kwenda hospital na kuchek afya zenu tu.... Mkishajua afya zenu wote mtakuwa huru zaidi.
Manga ML JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 9,805 Reaction score 15,529 Mar 14, 2017 #4 mrs fiance said: Njia salama ni kwenda hospital na kuchek afya zenu tu.... Mkishajua afya zenu wote mtakuwa huru zaidi. Click to expand... Hafu hamna kuchepuka au sio
mrs fiance said: Njia salama ni kwenda hospital na kuchek afya zenu tu.... Mkishajua afya zenu wote mtakuwa huru zaidi. Click to expand... Hafu hamna kuchepuka au sio
mrs fiance JF-Expert Member Joined May 24, 2016 Posts 352 Reaction score 163 Mar 14, 2017 #5 Manga ML said: Hafu hamna kuchepuka au sio Click to expand... Mkisha jua mpo wazima wote. Kama mnayapenda maisha yenu na kujali afya zenu kwa ujumla hamuwezi chepuka.. Mkichepuka hapo mnautafuta UKIMWI kwa nguvu. Na lazima mtaupata.
Manga ML said: Hafu hamna kuchepuka au sio Click to expand... Mkisha jua mpo wazima wote. Kama mnayapenda maisha yenu na kujali afya zenu kwa ujumla hamuwezi chepuka.. Mkichepuka hapo mnautafuta UKIMWI kwa nguvu. Na lazima mtaupata.
K kiliochangu JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 1,152 Reaction score 883 Mar 14, 2017 #6 condom ikivaliwa vizuri na tendo likafanyika kwa ustaarabu inaweza kuzuia UKIMWI na mimba pia