je koti itanisaidia kwa hili.....

je koti itanisaidia kwa hili.....

Fazul

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
82
Reaction score
9
mi ni mkenya naomba kujua kama koti itanisaidia kwa hili.niko na binti tunapendana sana ila babake amekuwa kero kwa penzi letu siku za karibuni amenikazia hata kuona huyo binti nivigumu,je naweza pewa kibali cha kumuzuia kunikataza kumfikia bintiwe?
 
Tafadhali toa maelezo yako kwa kiingereza kama unaweza,kiswahili ulichotumia hapo, kisheria nashindwa ku extract material facts to help you where to find law for it
 
Embu rudi ndugu Fazul utuelezee vizuri tuone wapi unaweza kusaidiwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom