Je, kozi ipi ina soko kubwa kwa sasa kwa wanaotaka kujiajiri inayotolewa kwenye vyuo vya ufundi kama VETA?

Je, kozi ipi ina soko kubwa kwa sasa kwa wanaotaka kujiajiri inayotolewa kwenye vyuo vya ufundi kama VETA?

felakuti

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
659
Reaction score
1,207
Habrini wadau

Je kwa wakati kama huu, je ni kozi zipi za ufundi zinazotolewa kwenye vyuo vya serikali kama VETA kijana anayependa kujiajiri kwa kufungua ofisi yake zina soko kubwa kwa sasa kama akisomea.

Kozi za ufundi kama

Ufundi Umeme wa Magari (Auto Electric – AE)

Mekania wa Magari (Motor Vehicle Mechanics – MVM)

Ufundi wa Baridi na Viwanda vya Hewa (Refrigeration and Air Conditioning – RAC)

Usakinishaji Umeme (Electrical Installation – EL)

Msaidizi wa Maabara (Laboratory Assistant – LA)

Uandishi na Programu za Kompyuta (Secretarial & Computer Application – SC)

Ufundaji Mbao na Joinery (Carpentry and Joinery – CJ)

Umeme wa Kielektroniki (Electronics – ELEC)

Ubunifu wa Usindikaji na Teknolojia ya Nguo (Design Sewing & Clothing Technology – DSCT)

Masonry na Uwekaji Matofali (Masonry and Bricklaying – MB)
 
Ngoja waje kutoa muongozo....Ila kwa uchache fursa mara nyingi inategemea na hali katika mazingira au maeneo uliyopo mfano ikatokea magari ya kampuni Fulani meengi yakawa na tatizo mfano IST kwa Tz manake ufundi umeme utakulipa chaap n.k
 
Uchomeleajii kijana utakii ,ujee uumie macho na ukiwa mwaminifu na advance za watu uku ukosii pesaa ..karibu tuwajibikee
 
Back
Top Bottom