Je kuagiza Crown athlete SBT ni kuanzia millions 16.5


Kama upo Dar nenda ilipo ofisi hiyo ya SBT kuliko uje kulia lia humu baadae
 
Hakuna haja ya kutumia mtu au watu wewe ukiingia kwenye website kila kitu kimewekwa wazi..Au BeFoward wako vizuri zaidi...hizi Taasisi za kuagiza magari zinaupigaji mwingi sana
 
Angalia. Utapigwa. Hapa kuna matapeli usipokuwa mwangalifu.
 
Kusikia kwa kenge piga masikio mpk yatoe damu......sasa hv kilio wazee w mchongo on air
 
Angalia usije ukapigwa wewe

Kama vipi ingia kwenye website uagize wewe mwenyewe

Nakushaur uingie befoward bei kidogo reasonable na kama una nguvu agiza majest crown hautajutia
 
Ahsante ila nnahtaji kuagiza TU toka japan, kuhusu kunnua ktk hizi yard mhh hapana
Wanakuordea ukitaka sio lazima wakuuzie kwanza asilimia ya magari ya huyu baba ni kwamba ukiagiza gari sio unaliopata hapo nope wanakuagizia kutoka japan sio kwenye sehemu zao za magari .
 
Mzee hata usiwaze sana. Google ofisi za SBT Tanzania zilipo. Nenda ofisini, waeleze shida yako. Mtachagua magari na ukiridhika watakupa utaratibu wa kufanya malipo. Achana na hizi habari za kupigiwa simu na agent wao ingawa wakati mwingine ukitaka ku bargain huwa wanapiga simu. NENDA OFISINI KWAO.
 
Kwa 18 million, nunulia humu ndani sio lazima uagize ... hasa majira ya haya ya holiday.. unapata crown grs200 au grs204.. imenyooka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…