luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Asallam aliykum wadau wana JF leo nawaletea huu UZI zipo kauli au hulka ya baadhi ya watu wakidai ya kuwa ni udhaifu hasa kwa mwanaume kutongoza msichana kutoka ktk mitandao ya kijamii na wapo wadau wanasema mahusiano yanayopatikana kutoka ktk mitandao ya kijamii huwa hayadumu. Je wadau wachambulizi wa mambo mnalisemeaje hili jambooo na kama wapo waliowahi kupata mchumba kutoka social network embu share uzoefu wako