Na mie nisaidie! kuna mama mmoja jirani yangu ana miaka 48 ana lalamika kuwa bado anapata hedhi, hivi inatokana na nini?Hapana. kubadilika kwa mzunguko kunasababishwa na vichocheo, mazingira na vyakula
Ndio vinachangia sana kwa sababu mimba iweze kutunga lazima hormones ziwe balance mfano ikizid Prolactin basi mimba haitungiIkiwa kama kubadilika kwa vichocheo (hormones) kunachangia, si inawezekana vichocheo hiivyo vikawa na athari hasi kwenye upatikanaji wa mimba?
Menopause inarange 45 mpka 50 kwa hiyo Bado.Na mie nisaidie! kuna mama mmoja jirani yangu ana miaka 48 ana lalamika kuwa bado anapata hedhi, hivi inatokana na nini?
Aisee kumbe! ngoja nikamwambie maana alikuwa kila mara anajiuliza na kutuulizaMenopause inarange 45 mpka 50 kwa hiyo Bado.
Hivi inawezekana siku ya kwanza ya hedhi mwanamke akashika mimba kulingana na mzunguko wake wa hedhiKuna mzunguko mfupi na mrefu mfupi ni siku 21 mpaka 27 Normal ni siku 28 na mzunguko mrefu ni 35 Ndo unaokubalika.
Hivyo mzunguko ukizidi siku 35 hapo kuna tatizo kuna hormonal imbalance ambayo husababishwa na vitu vingi vifuatavyo
Uzito mkubwa, uzito mdogo, kufanya mazoezi Sana,Polycyst Ovary syndrome,Ovary Cyst,kutumia njia za uzazi wa mpango fibroids etc
Nenda hospital kwa gyno ujue tatizo watakufanyia Ultrasound sound wacheck hormones zako.
Kama uko Dar nenda Rabininsia Memorial hospital muulizie Dr. Kashagama ni gyno Nzuri ipo tegeta kituo namanga au Regency Dr. Shafiq au Tikaya Health centre Dr. Kapona
Unapokuwa hedhi upo comfortable kukutana na mwenzi wako? Wakati wa hedhi huwezi kushika ujauzitoHivi inawezekana siku ya kwanza ya hedhi mwanamke akashika mimba kulingana na mzunguko wake wa hedhi
Nakupm Mkuu inakataa ntumie number yako pm ntakucheckKuna wanawake hubadilika mzunguko wao kila mwezi. Kwa mfano 14 Mei, 18 Juni, 24 Julai, 26 Agosti, 30 Septemba, 06 Octoba, ... Inatokea hata mwezi kuwa na siku zaidi ya 36.
Je hali hiyo inaashiria tatizo katika mfumo wa uzazi linaloweza kuzuia mwanamke huyo kushika ujauzito?
Msaada tafadhali.
Ana bahati sana kuna staff mwenzetu hali hiyo imemfika kwenye miaka 43, kasheshe zake ni mbaya sana, anapata wakati mgumu maana kuna kipindi anatokwa na jasho jingi mpaka anaona vibaya, yaani anashida kila saa lazima awe karibu na bafu aweze kujisha uso, anatamani sana kurudisha tena bleed ila ndio haiwezekani.Na mie nisaidie! kuna mama mmoja jirani yangu ana miaka 48 ana lalamika kuwa bado anapata hedhi, hivi inatokana na nini?
Kuna dawa kwa ajili ya watu waliofika menopause azitafute aelezee anavofeel atakuwa poaAna bahati sana kuna staff mwenzetu hali hiyo imemfika kwenye miaka 43, kasheshe zake ni mbaya sana, anapata wakati mgumu maana kuna kipindi anatokwa na jasho jingi mpaka anaona vibaya, yaani anashida kila saa lazima awe karibu na bafu aweze kujisha uso, anatamani sana kurudisha tena bleed ila ndio haiwezekani.
kweli mkuu? zinapatikana pharmacy au za kienyeji? maana anasema hospital walimwambia ni kipindi cha mpito ila ndio hivyo mpitito wa shida.Kuna dawa kwa ajili ya watu waliofika menopause azitafute aelezee anavofeel atakuwa poa
Inaonekana ni overweight huyo njia Nzuri hapo ni kufanya exercise to reduce the fat that upset estrogen and progesterone ratios especially sehemu za tumboni apunguze.Ana bahati sana kuna staff mwenzetu hali hiyo imemfika kwenye miaka 43, kasheshe zake ni mbaya sana, anapata wakati mgumu maana kuna kipindi anatokwa na jasho jingi mpaka anaona vibaya, yaani anashida kila saa lazima awe karibu na bafu aweze kujisha uso, anatamani sana kurudisha tena bleed ila ndio haiwezekani.
Mtu mwenyewe si mnene ana mwili wastani labda kama ana mafuta tumboni mkuu.Inaonekana ni overweight huyo njia Nzuri hapo ni kufanya exercise to reduce the fat that upset estrogen and progesterone ratios especially sehemu za tumboni apunguze.