Je kubadilibadika kwa hedhi ni ishara ya tatizo kwenye afya ya uzazi?

Mtu mwenyewe si mnene ana mwili wastani labda kama ana mafuta tumboni mkuu.
Deposition of fat in abdomen and stomach so afanye mazoezi ya tumbo pia aende pharmacy kubwa anunua multivitamins
 
Mtu mwenyewe si mnene ana mwili wastani labda kama ana mafuta tumboni mkuu.
Deposition of fat in your body Huwezi pima kwa muonekano wa mtu kuna wembamba wana cholesterol
 
Umetoa DARSA kubwa sana. Hongera kwa kuelimisha jamii
 
Vipi kama nahitaji mtoto wa kike au wa kiume?.
 
Vipi kama nahitaji mtoto wa kike au wa kiume?.
Mtoto wa kiume:Baada ya kumaliza tendo unalala kiubavu kwa utulivu kwa dakika 45 mpaka lisaa ili kuzipa nafasi mbegu za kiume kukutana na yai kwa sababu huwa ziko weak kulko za kike hivyo zinahitaji utulivu usikimbilie kwenda kunawa baada ya tendo.

Na Kwa upande wa style ya kufanya ni ile ya mwanaume kupitia kwa nyuma huku mwanamke amepiga magoti maarufu kwa jina la chuma mboga au mwanamke awe amelalia tumbo mwanaume anakuja kwa nyuma na sio style ya kutazamana uso kwa uso kama ilivo kawaida hapa mwanamke usijali sana kufikishwa akifika mwenzako basi.

Mtoto wa kike: Hapa mwanamke anakuwa chini mwanaume juu au mwanaume chini mwanamke anamkalia kwa juu hapa mwanaume anatakiwa kuconcentrate kumfikisha/kumstarehesha Mwanamke.

Yote haya ni bahati nasibu basi ni imani tu tunajiwekea, kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu utampata
 
Na wanaovuka miezi labda miwili then wanapata tena hedhi ikoje kiutaalam
Ni tatizo unatakiwa kila Mwezi apate siku though kibadilika kwa hedhi kunasababu Kama kubadilisha hali ya hewa,eating habits, kutumia njia za uzazi wa mpango, overweight and underweight, stress, lack of exercise, abortion, miscarriages
 
Na huku kuvuka miezi tatizo ni nini
 
hiyo ni shida kwa wanawake wengi. siku za hedhi kubadilika badilika. utakuta hakuna tarehe kamili ya hedhi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…