Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 6,346 Reaction score 14,546 Sep 24, 2020 #1 Naomba kujua ni sheria ipi imeongelea kosa la kuchana katiba au mtu akichana katiba ni sheria gani inatumika katika hati ya mashtaka(charge)
Naomba kujua ni sheria ipi imeongelea kosa la kuchana katiba au mtu akichana katiba ni sheria gani inatumika katika hati ya mashtaka(charge)
Gentleman96 JF-Expert Member Joined Mar 12, 2019 Posts 912 Reaction score 1,670 Sep 30, 2020 #2 Sjui SHERIA lakini sasa kwa nini mtu achane katiba?
Mchizi JF-Expert Member Joined Apr 23, 2009 Posts 2,886 Reaction score 7,000 Oct 1, 2020 #3 Kuna mtu aliwahi kusigina katiba, sina kumbukumbu kilichomkuta
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 6,346 Reaction score 14,546 Oct 2, 2020 Thread starter #4 Erick96 said: Sjui SHERIA lakini sasa kwa nini mtu achane katiba? Click to expand... unajua katiba ya Muungano haikubaliki sana zanzibar
Erick96 said: Sjui SHERIA lakini sasa kwa nini mtu achane katiba? Click to expand... unajua katiba ya Muungano haikubaliki sana zanzibar
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 6,346 Reaction score 14,546 Oct 2, 2020 Thread starter #5 Mchizi said: Kuna mtu aliwahi kusigina katiba, sina kumbukumbu kilichomkuta Click to expand... Aaah ngoja nitafute hicho kisa mkuu
Mchizi said: Kuna mtu aliwahi kusigina katiba, sina kumbukumbu kilichomkuta Click to expand... Aaah ngoja nitafute hicho kisa mkuu