Je, kufanya ngono mara kwa mara kunadhoofisha mwili?

Blood of Jesus

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
4,486
Reaction score
8,098
SWALI langu ni moja tu: Je, kufanya ngono mara kwa mara kunadhoofisha mwili? najua humu JF kuna wataalamu wa afya wa viwango mbalimbali. Naombeni mnisaidie hapo kwa kunijibu kisayansi maana naskia Ile kitu inayotoka kwa mwanaume ni "pure protein"

JF hamjawahi kuniangusha. karibuni.
 
ongezea nyama mkuu, kama hutojali. "kula vizuri" unamaanisha nini hasa.
Kuna wanaume wavivu kula au wengine lishe duni, sasa hapo kwanini usikonde.
Kula vzr, kunywa maji ya kutosha...sidhani kama utakonda otherwise labda uwe na tatizo la kiafya.
 
sasa utakuwa umekonda kwa sababu ya kufanya ngono ama kwa sababu ya lishe duni, au vyote kwa pamoja
 
SWALI langu ni moja tu: Je, kufanya ngono mara kwa mara kunadhoofisha mwili? najua humu JF kuna wataalamu wa afya wa viwango mbalimbali ! naombeni mnisaidie hapo kwa kunijibu kisayansi! maana naskia Ile kitu inayotoka kwa mwanaume ni "pure protein"

Jf hamjawahi kuniangusha. karibuni.
Kudhoofika afya ya mwili kunasababishaa na kukosa lishe bora, kukosa usingizi na uchovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kula vizuri tu, ukinunua kilo ya nyama hakikisha unakata robo unakula ndo unarudisha home wale wa kaskazini nadhani mnatambua hii slogan.

Pia kabla ya kutoka kazini pita sehemu upashe tumbo kwa supu ya kongolo au mkia ndo ukale home
 
Huenda kuna uhalisia kwa kiasi fulani maana kuna manzi kipindi kifupi kimepita nimekesha naye usiku mzima kwa mishindo 6 baada ya hapo mwili umetetereka kwa kiasi flani mpaka watu wananishangaa mno, kwa kifupi hilo tendo linagharimu nguvu (energy) kwa kiwango kukubwa ni vile tu tunapuuzia.

Kwa sasa nipo nimeanzisha mfumo wa lishe maalum kwa ajili ya kurejesho afya kwa kuzingatia lishe
 
Kwa sasa nipo nimeanzisha mfumo wa lishe maalum kwa ajili ya kurejesho afya kwa kuzongatia lishe
Jamani jamani😅
 
Huenda kuna uhalisia kwa kiasi fulani maana kuna manzi kipindi kifupi kimepita nimekesha naye usiku mzima kwa mishindo 6 baada ya hapo mwili umetetereka kwa kiasi flani mpaka watu wananishangaa mno, kwa kifupi hilo tendo linagharimu nguvu (energy) kwa kiwango kukubwa ni vile tu tunapuuzia.

Kwa sasa nipo nimeanzisha mfumo wa lishe maalum kwa ajili ya kurejesho afya kwa kuzingatia lishe
Wewe ulikonda Kwa matatizo yako mengine ,ila sio kupiga mishindo 6 [emoji23]
 
Back
Top Bottom