Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
ongezea nyama mkuu, kama hutojali. "kula vizuri" unamaanisha nini hasa.Kula vizuri. Ile ni kazi kama kazi nyingine ngumu.
Kuna wanaume wavivu kula au wengine lishe duni, sasa hapo kwanini usikonde.ongezea nyama mkuu, kama hutojali. "kula vizuri" unamaanisha nini hasa.
sasa utakuwa umekonda kwa sababu ya kufanya ngono ama kwa sababu ya lishe duni, au vyote kwa pamojaKuna wanaume wavivu kula au wengine lishe duni, sasa hapo kwanini usikonde.
Kula vzr, kunywa maji ya kutosha...sidhani kama utakonda otherwise labda uwe na tatizo la kiafya.
Mwambie ukweli akapime tu huenda afya ishaingia dosari...😅Kula vizuri. Ile ni kazi kama kazi nyingine ngumu.
Kwasababu ya lishe duni au tatizo la kiafya. Ile kitu inatumia nguvu😅😅sasa utakuwa umekonda kwa sababu ya kufanya ngono ama kwa sababu ya lishe duni
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwasababu ya lishe duni au tatizo la kiafya. Ile kitu inatumia nguvu[emoji28][emoji28]
Mi sio daktari jamani naropoka tu
Kudhoofika afya ya mwili kunasababishaa na kukosa lishe bora, kukosa usingizi na uchovuSWALI langu ni moja tu: Je, kufanya ngono mara kwa mara kunadhoofisha mwili? najua humu JF kuna wataalamu wa afya wa viwango mbalimbali ! naombeni mnisaidie hapo kwa kunijibu kisayansi! maana naskia Ile kitu inayotoka kwa mwanaume ni "pure protein"
Jf hamjawahi kuniangusha. karibuni.
Hongera kwa kututhibitishia kwa picha kuwa inanenepesha.
Jamani jamani😅Huenda kuna uhalisia kwa kiasi fulani maana kuna manzi kipindi kifupi kimepita nimekesha naye usiku mzima kwa mishindo 6 baada ya hapo mwili umetetereka kwa kiasi flani mpaka watu wananishangaa mno, kwa kifupi hilo tendo linagharimu nguvu (energy) kwa kiwango kukubwa ni vile tu tunapuuzia.
Kwa sasa nipo nimeanzisha mfumo wa lishe maalum kwa ajili ya kurejesho afya kwa kuzongatia lishe
Wewe ulikonda Kwa matatizo yako mengine ,ila sio kupiga mishindo 6 [emoji23]Huenda kuna uhalisia kwa kiasi fulani maana kuna manzi kipindi kifupi kimepita nimekesha naye usiku mzima kwa mishindo 6 baada ya hapo mwili umetetereka kwa kiasi flani mpaka watu wananishangaa mno, kwa kifupi hilo tendo linagharimu nguvu (energy) kwa kiwango kukubwa ni vile tu tunapuuzia.
Kwa sasa nipo nimeanzisha mfumo wa lishe maalum kwa ajili ya kurejesho afya kwa kuzingatia lishe
Hmm . Huenda lakini punde baada ya hapo ndio mabadiliko yalianza maana mishindo 6 nayo siyo haba mkuuWewe ulikonda Kwa matatizo yako mengine ,ila sio kupiga mishindo 6 [emoji23]