Je, kufuatia utetezi wa Spika Ndugai kwa wabunge wa Chadema kuna haja ya wabunge hao kukata rufaa baraza kuu kudai Uanachama!

Mi nashauri mdee na wenzake waanze kushona suti kwa sababu kazi "shira"πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ushawahi ona nyoka mwenye njaa anamtetea PANYA asiliwe na paka?
Ipo hivi...
Kwenye kamati za bunge, hasa zihusuzo fedha, kunatakiwa kuwe na wanakamati toka upinzani.. tena pasu pasu.. Sasa CCM hawakulikalkuleti hilo kwenye uchaguzi wa wabunge majimboni, kwamba wangeachia majimbo kadhaa kwa maana ya kupata wapinzani wa kuwaweka kwenye kamati... !!! Sasa kwenye uchaguzi wa majimbo, upinzani huku bara wapo wawili tu..!! hawatoshi kwenye kamati...!! na uchaguzi ushapita.. SASA WATAFANYEJE..??? Ili wawapate wa kuwaweka kwenye kamati, iwe isiwe, lazima hao 19 watetewe kwa nguvu zote, maana vinginevyo mambo yanakwenda kuharibika...!!! HAPO NDIPO UNAPOONA SPIKA ANATETEA KWA HALI NA MALI UWEPO WAO BUNGENI...

Tusisahau, Sophia Simba alishawahi vuliwa ubunge kwa mambo kama haya.... wale nane wa CUF nao si tunajua..!!
 
Dunia imshangae mara ngapi?
 
Nakuunga mkono kwa 100%
 
waendelee kwa tiketi ya spika wa bunge la ccm
 
Wale wabunge wakiendelea kumfuata ndugai watapotea.Ndugai hana fact zozote za kisheria katika swala la kina mdee zaidi ya ubabe.Kwa Hali ilivyo hata wakiingia bungeni nao watakuwa wanavunja katiba vilevile
 
Kuna bunge lipo sehemu gani?
 
Wakati mwingine nafikiri kumlaumu Mh. Ndugai sio sawa hasa.
 
Safi sana umetoa lecture iliyonyooka yaan kama ccm tu walivyomfukuza Sofia Simba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…