MPYA Je, kufunga ni njia bora ya kupunguza uzito?

Taarifa hii ni mpya na bado inafanyiwa tathmini
Ni njia nzuri sana,tena hupungui ila unakonda kabisa
 
Watu wengi hunenepa kutokana na vyakula. Mimi nimeona hiyo mbinu ikinisaidia, nakula mlo mmoja tu mchana na usiku matunda kidogo basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…