Je, kuiondoa CCM na kuwapa vyama vingine ndio dawa ya kumaliza matatizo tuliyonayo?

Je, kuiondoa CCM na kuwapa vyama vingine ndio dawa ya kumaliza matatizo tuliyonayo?

kunowa

Member
Joined
Oct 30, 2024
Posts
33
Reaction score
46
Kwanza sipingani na watu wanaosema CCM iondoke waingie wengine.

Ninachojaribu kutafakari ni kuwa ni kuwa hivi ni kweli sasa ya kubadilisha vyama ndio njia pekee ya maendeleo?

Naona zipo nchi za kifalme kama UAE, Saudia, Iran, Urusi China, kule Morocco n.k wa nafanya vizuri kuliko nchi ambazo tunaamini zinapractice demokrasia ya vyama vingi? Mfano nchi kama Kenya inafanya vizuri kinademokrasia kuliko Dubai, au hata China, lakini ki maendeleo ni mbingu na ardhi.

Najaribu kuuliza kikiingia chama kingine umasikini wa watanzania utakuwa umeisha?
 
Back
Top Bottom