FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Jaribu kufikiria kama ungekuwa unaishi milele, je, usingeomba poo wewe mwenyewe na kuomba kupumzishwa after lets say 1000yrs of life, tuwe tu wakweli...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kula kupi ulikomaanisha kikawaida au kibaharia?huwezi kuishi milele kama unazaa.., its physically impossible watu si wangejaa, hapo chakula kingetoka wapi ?, mgekulana wenyewe ? na mkilana wenyewe si kwamba ndio umekufa au ?
OkMwanzo:3.8
Kisha wakasikia sauti ya Bwana Mungu, akitembea bustanini wakati wa jua kupunga; Adamu na mkewe wakajificha kati ya miti ya bustani, Bwana Mungu asiwaone.
Mwanzo:3.9
Bwana Mungu akamwita Adamu, akamwambia, Uko wapi?
Mwanzo:3.10
Akasema, Nalisikia sauti yako bustanini, nikaogopa kwa kuwa mimi ni uchi; nikajificha.
Mwanzo:3.11
Akasema, Ni nani aliyekuambia ya kuwa u uchi? Je! Umekula wewe matunda ya mti niliyokuagiza usiyale?
Mwanzo:3.12
Adamu akasema, Huyo mwanamke uliyenipa awe pamoja nami ndiye aliyenipa matunda ya mti huo, nikala.
Mwanzo:3.13
Bwana Mungu akamwambia mwanamke, Nini hili ulilolifanya? Mwanamke akasema, Nyoka alinidanganya, nikala.
Mwanzo:3.14
Bwana Mungu akamwambia nyoka, Kwa sababu umeyafanya hayo, umelaaniwa wewe kuliko wanyama wote, na kuliko hayawani wote walioko mwituni; kwa tumbo utakwenda, na mavumbi utakula siku zote za maisha yako;
Mwanzo:3.15
nami nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke, na kati ya uzao wako na uzao wake; huo utakuponda kichwa, na wewe utamponda kisigino.
Mwanzo:3.16
Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.
Mwanzo:3.17
Akamwambia Adamu, Kwa kuwa umeisikiliza sauti ya mke wako, ukala matunda ya mti ambao nalikuagiza, nikisema, Usiyale; ardhi imelaaniwa kwa ajili yako; kwa uchungu utakula mazao yake siku zote za maisha yako;
Mwanzo:3.18
michongoma na miiba itakuzalia, nawe utakula mboga za kondeni;
Mwanzo:3.19
kwa jasho la uso wako utakula chakula, hata utakapoirudia ardhi, ambayo katika hiyo ulitwaliwa; kwa maana u mavumbi wewe, nawe mavumbini utarudi.
Tungetafuta sayari nyingine baada ya hii kujaaKama hakungekuwa na kufa maisha yasingewezekana.
Fikiri mababu au mabibi zako zaidi ya mia wangeendelea kuishi pale kijijini au mjini je mngekaa mkao gani?
Kweli aiseehuwezi kuishi milele kama unazaa.., its physically impossible watu si wangejaa, hapo chakula kingetoka wapi ?, mgekulana wenyewe ? na mkilana wenyewe si kwamba ndio umekufa au ?