Ahsante sana, naomba kufahamu hatua zipoje? Naanzia ofisi gani manispaa?Ndio mkuu, hiyo ipo kisheria kabisa. Na kupata kibali malipo ni Kati ya 20,000/- au 50,000/- sikumbuki vizuri.
Anza na hao hao Serkali ya Mtaa, hao ndo wanakutambua, means watakuandikia barua then utaenda Manispaa.Ahsante sana, naomba kufahamu hatua zipoje? Naanzia ofisi gani manispaa?
Sina uzoefu mkuu, mie huwa Nina watu wangu(wahandisi) ndio huwa wananisaidia kuharakisha upatikanaji wake.Ahsante sana, naomba kufahamu hatua zipoje? Naanzia ofisi gani manispaa?
Ahsante mkuuAnza na hao hao Serkali ya Mtaa, hao ndo wanakutambua, means watakuandikia barua then utaenda Manispaa.
Ahsante mkuuSina uzoefu mkuu, mie huwa Nina watu wangu(wahandisi) ndio huwa wananisaidia kuharakisha upatikanaji wake.
Kwa ushauri tu, ukienda manispaa/halmashauri dawati la maulizo naamini utaelekezwa.
Duuh, sawa mkuu nimekuelewa sikuwa nafahamu kuhusu hilo, nilidhani wanataka kunionea ili niwape chochote hivyo, ikabidi nitafute kwanza taarifa sahihi ili nipate uhakika.Inaitajii kibalii mkuu ,kariako nimeshuhudia ktk frem mpya zilizotengenezwa ,mwenye frem kabla yakuanza ujenzi alichukua kibali cha ujenzi utakaokamilika kwa upande wake kwa miez minne baada ya hapo atakaendelelea na chcht atakaepanga ktk frem bac atawajibika kutafuta kibali ili aendelee na anachokitakaa ,,ht km unawekaa Dari juu ya frem wakikukamta na una kibali bac watadilii nawee.
Sent using Jamii Forums mobile app