Je Kuku aina ya Malawi huatamia na kuangua vifaranga?

Je Kuku aina ya Malawi huatamia na kuangua vifaranga?

Joined
Mar 9, 2016
Posts
41
Reaction score
17
Habarini ya kazi.
Naomba kufahamu kwa wanaojua, hivi kuku aina ya Malawi wale wanaopatikana sana Mbeya huatamia na kuangua mayai yao ama nao ni kama chotara wa kawaida wanataga tu pasipo kuatamia mayai?
 
hao kuku ni wazuri sana kwenye kubadili bumba kuwa nyama si kuatamia ndugu
 
Back
Top Bottom