Burhani Khaled Member Joined Mar 9, 2016 Posts 41 Reaction score 17 Jul 20, 2023 #1 Habarini ya kazi. Naomba kufahamu kwa wanaojua, hivi kuku aina ya Malawi wale wanaopatikana sana Mbeya huatamia na kuangua mayai yao ama nao ni kama chotara wa kawaida wanataga tu pasipo kuatamia mayai?
Habarini ya kazi. Naomba kufahamu kwa wanaojua, hivi kuku aina ya Malawi wale wanaopatikana sana Mbeya huatamia na kuangua mayai yao ama nao ni kama chotara wa kawaida wanataga tu pasipo kuatamia mayai?
mtwa mkulu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 8,586 Reaction score 11,227 Jul 22, 2023 #2 Wamnataga,wanaatamia na kutunza watoto
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 22, 2023 #3 Ngoja waje kukupa muongozo...
M Mndengereko One JF-Expert Member Joined Apr 26, 2015 Posts 340 Reaction score 243 Jul 26, 2023 #4 chotara wa Malawi hawaatamii
Burhani Khaled Member Joined Mar 9, 2016 Posts 41 Reaction score 17 Jul 28, 2023 Thread starter #5 Mndengereko One said: Chotara wa Malawi hawaatamii Click to expand... Shukrani.
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 12,679 Reaction score 25,646 Jul 28, 2023 #6 hao kuku ni wazuri sana kwenye kubadili bumba kuwa nyama si kuatamia ndugu
Burhani Khaled Member Joined Mar 9, 2016 Posts 41 Reaction score 17 Jul 29, 2023 Thread starter #7 Dr hyperkid said: hao kuku ni wazuri sana kwenye kubadili bumba kuwa nyama si kuatamia ndugu Click to expand... Shukrani.
Dr hyperkid said: hao kuku ni wazuri sana kwenye kubadili bumba kuwa nyama si kuatamia ndugu Click to expand... Shukrani.