Je, kuku wa siku tatu anaweza kula chakula chochote ukiachia mbali stater kama ndio, ni kipi?

vance12

Member
Joined
Mar 8, 2023
Posts
13
Reaction score
36
Je, kuku wa siku tatu anaweza kula chakula chochote ukiachia mbali stater kama ndio, ni kipi?
 
Mkuu kwani shida ni namna ya kupata starter au shida ni nini. Uko mkoa gani na kuku unao wangapi nikupe ujanja. Na kuku wenyewe ni aina gani, broiler, kienyeji au wa mayai? Na wako wangapi
 
Back
Top Bottom