vance12 Member Joined Mar 8, 2023 Posts 13 Reaction score 36 Aug 8, 2023 #1 Je, kuku wa siku tatu anaweza kula chakula chochote ukiachia mbali stater kama ndio, ni kipi?
MAMESHO JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,432 Reaction score 1,738 Aug 8, 2023 #2 Mkuu kwani shida ni namna ya kupata starter au shida ni nini. Uko mkoa gani na kuku unao wangapi nikupe ujanja. Na kuku wenyewe ni aina gani, broiler, kienyeji au wa mayai? Na wako wangapi
Mkuu kwani shida ni namna ya kupata starter au shida ni nini. Uko mkoa gani na kuku unao wangapi nikupe ujanja. Na kuku wenyewe ni aina gani, broiler, kienyeji au wa mayai? Na wako wangapi
M Mndengereko One JF-Expert Member Joined Apr 26, 2015 Posts 340 Reaction score 243 Aug 8, 2023 #3 wanaweza ila stater ndo bora kwenye kumsaidia ukuwaji wake hawatodumaa