Je, kula sana ni tatizo?

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,667
Habari wana JF.

Nina mdogo wangu anahili wacha niliite tatizo, yaani chakula anachokula kama unakiona unaweza kusema ni kwaajili ya watu watatu hivi. Kama utamkuta anakula wali na maharage hapo ndo huwezi kuamini kabisa maana inazidi ile kipimo chake cha kila siku, najiuliza ivi inawezekana ni tatizo au wapo watu hawa? Kwa wanaofahamu tafadhali.

Natanguliza shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…