Justin Dimee
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,146
- 248
Mbonaa ukinywaa kahawaa wanasemaa inapunguzaa kulala?
Mbonaa ukinywaa kahawaa wanasemaa inapunguzaa kulala?
Nimeekupataa mkuu wangu so inaa maanaa kuaa huo ni ugwonjwaa basi na dawaa yakee piaa ipo au
Ndiyo dawa ipo kama ulivyoona mwenyewe, kama unaitaka nitumie PM.
Nieleze apa nta ipatia wap
naina uzwa bei gani ni tafute mambo ya ku pm misiyaelewi
Asante Mkuu kwa ushairi mzuriinawezakuwa ni ugonjwa kama inakutokea daily, cha msingi hapo ni upunguze vinywaji vyenye kaffeina kama vile soda, chai ya rangi, kahawa, nk vingine unaweza ku-google vyenye kaffeina. Ongeza pia unywaji maji walau mpaka glasi 8 kwa siku.