Je, kulala kwenye floor kunapunguza uzito?

Je, kulala kwenye floor kunapunguza uzito?

Acha Kula Milo mitatu , epuka misosi iliyosindikwa , Kula chips na kinyama nyama , na soda punguza au uache kabisa , usipande kufakamia vyakula sjui Milo mitatu Kwa sku , penda kunywa maji Sana , na mazoez kiasi
 
Back
Top Bottom