L Lotus 123 JF-Expert Member Joined Nov 5, 2021 Posts 3,151 Reaction score 5,513 Sep 30, 2023 #1 Eti kulala kwenye sakafu kunasaidia uzito kupungua?
Slowly JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 10,589 Reaction score 35,268 Sep 30, 2023 #2 Acha Kula Milo mitatu , epuka misosi iliyosindikwa , Kula chips na kinyama nyama , na soda punguza au uache kabisa , usipande kufakamia vyakula sjui Milo mitatu Kwa sku , penda kunywa maji Sana , na mazoez kiasi
Acha Kula Milo mitatu , epuka misosi iliyosindikwa , Kula chips na kinyama nyama , na soda punguza au uache kabisa , usipande kufakamia vyakula sjui Milo mitatu Kwa sku , penda kunywa maji Sana , na mazoez kiasi