kinachomfanya apungue sio tiles, bali ni discomfort anayoipata ya kutokulala vizuri na kupumzisha vyema mwili wake pindi atapolala chini.
nitajitolea mfano mimi mwenyewe; kuna kipindi katika utafutaji wangu nilikuwa nafanya kazi za night shift, nilikuwa naenda mpaka night 7 au 8 mfululizo kiwandani, usiku nikipata uchovu nalala kwenye kiti au sakafuni kwenye mabox.
ilikuwa nikimaliza night shift mwili unakua umedhoofu, uso hauna nuru na weight imekata kwa grams kadhaa.