britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Kumekuwa na tabia yetu kulalamika kwa kila jambo!
Tulalamike lakini tutoe na Suluhu
Mpaka Sasa Serikali ya CCM chini ya Rais Samia Suluhu Hassan ipongezwe walau kwa 40% ya Mambo imeyafanya kwa asilimia hizo Kati ya 100%
Tujikumbushe ishu Moja ya Msingi
Uhuru wa habari upo
Amani imerudi kwa 40% ukilinganisha kwa wakati mchache Uliopita.
Tumpongeze, kunayo Nguvu Kubwa ya kummislead ionekane Mwanamke hawezi, pamoja na hayo Jambo Kubwa ambalo amekosea i kutoa Mtazamo wake Juu ya Kesi ya Mbowe Kabla ya Majaji kusikiliza na kuhukumu.
Mauaji yanayoendelea nchini si kwamba ni mapya, yapo siku zote ila kwa Samia kumekuwapo Ukweli na Uwazi Zaidi kuliko Zama za vigunia vya wafu fukweni.
Wapinzani wamekatazwa mikutano isiyo na vibali lakin hata wakiomba vibali hawapati,
Zanzibar imependelewa sana kuliko inavyopaswa!
Cha kufanya Mama haya review haya mambo upya tuendelee na Safari ya kumuweka kwenye Safari ya kumbukumbu njema!
Britannica