Je, Kulikuwa na Machafuko Kabla ya Mwanadamu?

Logic ni ndogo tu hapa, hivi ukitaka kuanzisha kitu kikiwa absolute zero, sheria za kuanzia zinawezaje kufanana na sheria za kukiendesha kikiwa tayari kimeshakuwa kikubwa na kusambaa?
Turudi hapa, mwanzo tulibase upande wa kaini turidi msingi wetu wa swali.
 
Wewe mwenye uwezo mkubwa wa kuchanganua mambo umeshindwaje kujibu hoja za mwenye uzi?
Nimeshindwa? Hahaha kichekesho hiki. Pitia comments upate darasa mdogo wangu, mijadala kama hii najua wewe huwezi kujihusisha nayo kwa sababu una akili ndogo.
 
Turudi hapa, mwanzo tulibase upande wa kaini turidi msingi wetu wa swali.
Hadi uzi umefika page ya 9 ameshindwa kutetea hoja yake, bado unaamini huyo mzee atakuwa na majibu ya kueleweka?
 
Hadi uzi umefika page ya 9 ameshindwa kutetea hoja yake, bado unaamini huyo mzee atakuwa na majibu ya kueleweka?
Wewe ni kawaida yako kuwasapoti wanaume wenzako wenye uwezo wa kujenga hoja.

Wewe huo uwezo huna, ni debe tupu!
 
Nimeshindwa? Hahaha kichekesho hiki. Pitia comments upate darasa mdogo wangu, mijadala kama hii najua wewe huwezi kujihusisha nayo kwa sababu una akili ndogo.
Wew kijana kuandika insha ndefu hapa Jf na kuchanganya vi msamiati vya kingereza hakukufanyi ujione una akili nyingi.
Ki msingi wenye akili kubwa huwa hawajitangazi, kwa hiyo narudia tena kukusihi JICHUNGUZE.
 
Wew kijana kuandika insha ndefu hapa Jf na kuchanganya vi msamiti vya kingereza hakukufanyi ujione una akili nyingi.
Ki msingi wenye akili kubwa huwa hawajitangazi, kwa hiyo narudia tena kukusihi JICHUNGUZE.
Narudia kukwambia hivi, wewe ni akili ndogo, haujafika hata robo ya uwezo wangu wa kujenga hoja zenye mantiki.

Wewe kwa kawaida unatakiwa kufanya mijadala na wanawake siyo wanaume, maana huwa una base kumkosoa mtoa hoja na siyo hoja yenyewe!
 
Wewe ni kawaida yako kuwasapoti wanaume wenzako wenye uwezo wa kujenga hoja.

Wewe huo uwezo huna, ni debe tupu!
Kipi bora mzee genious wa mchongo, kukubali kwamba mada X huna uelewa nayo ili ujifunze kwa wenye uelewa au kulazimisha kuibaka mada X ili mradi tu uonekane kwamba na wewe umo hata kama unatetea utumbo?
Binafsi kitu kama sikijui , sioni tija ya kutaka kuonekana nakijua kwa sababu hainiongezei chochote.

JICHUNGUZE, Mirembe panakuita ukiendelea kukaza fuvu
 
Mada wanazo jadili wanaume, wewe binti unapaswa kuwa unakaa pembeni, sio kuleta ukike wako kwenye hoja za wanaume.
 
Marcostilone
Nikirejea kwwnye msingi wa maada yangu ,kama tunakubali kwamba Mungu amekuwepo tangu enzi na uwezo wake haukuanza na uwepo wa mwanadamu, basi si lazima tufikirie kwamba uumbaji wake ulianza na sisi. Uwepo wetu unaweza kuwa sehemu moja tu ya kile ambacho Mungu amewahi kuumba. Kwa hiyo, si jambo lisilowezekana kujiuliza kama kabla yetu kulikuwa na viumbe wengine ambao hatuwajui. Na kama siku moja wanadamu wataishia kuwepo, hilo pia halimaanishi kwamba uwezo wa Mungu wa kuumba utaishia hapo. Anaweza kuumba viumbe wengine baada yetu, kwa sababu mwisho wetu si lazima uwe mwisho wa uumbaji wake.


ikiwa Mungu alikuwepo kabla yetu, ni kwa nini tuamini kwamba sisi ndio viumbe wa kwanza kabisa aliowahi kuumba?

Nikuombe na wewe Benoit uliekua ukijibu bila mpangilio husika.
 
Kwa nini upoteze muda kuwaza uumbaji usio na ushahidi badala ya kushughulika na huu uumbaji uliopo mbele ya macho yako sasa hivi?
 
Kwa nini upoteze muda kuwaza uumbaji usio na ushahidi badala ya kushughulika na huu uumbaji uliopo mbele ya macho yako sasa hivi?
Ningependa tubase zaidi kwenye majibu sio sababu za kuuliza swali
 
Ningependa tubase zaidi kwenye majibu sio sababu za kuuliza swali
Kama una maana yako kuuliza lile swali basi vivyo hivyo na mimi nina maana yangu kukuuliza hilo swali.

Kama huwezi kujibu, it's okay!
 
Wapi kwenye biblia yako inasema Cain alimuoa dada yake ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…