Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Unataka kujadili hadithi za uongo zilizojaa logical contradictions kutafuta ukweli wakati tayari hadithi hizo ni uongo?Kama Hadithi za sungura na fisi tunazisoma na kuzijadili, why tusijadili hizi unazoita stori uchwara?
Kwani kuna sehemu imeandikwa tutafute ukweli?Unataka kujadili hadithi za uongo zilizojaa logical contradictions kutafuta ukweli wakati tayari hadithi hizo ni uongo?
Wewe unataka kutafuta ukweli kwenye uongo.
Adamu na Hawa ndio wanadamu wa kwanza kabisa na walizaa watoto, ukisema mke wa Kaini hakutoka kwenye hao watoto, hiyo 50% yako unaiweka wapi?Nimeelewa na alternative ya jibu langu ni 50% kwamba hakuoa ndugu kwasababu sina uhakika kimaandishi kama wewe ambavo hauna uhakika kuhusu kuoa ndugu yake ndomana nikasema 50%, kwani hata wewe umefanya deductive logic
Hapa ni public forum.Naheshimu reply yako hvyo ningependa kuona ukichangia kuhusu mada iliopo juu sio vingenevyo vitakavyo zua mabishano yaliyopo nje ya mada.
Kwa hiyo hapa mna discuss uongo mkijifurahisha tu?Kwani kuna sehemu imeandikwa tutafute ukweli?
Kwani watu na wadogo zake ni visawe?Umeielewa hoja kwanza ilikuwa inaongelea nini na tunajadili nini hapa?
Tuna socializeKwa hiyo hapa mna discuss uongo mkijifurahisha tu?
Ndio maana nikakuuliza wewe wadogo zako huwa unawaita kuku au mbuzi?Kwani watu na wadogo zake ni visawe?
Mimi nmeuliza muktadha mpaka wadogo zake awaite watu tu?
Ndio maana nasema hizo hadithi za Biblia ni hekaya za kutungwa zisizo na ukweli wowote ule.Tuna socialize
Wewe unafikiri kwa nini zilitungwa?Ndio maana nasema hizo hadithi za Biblia ni hekaya za kutungwa zisizo na ukweli wowote ule.
Ni hadithi za kutungwa tu, sawa na hekaya za Abunuwasi, Hadithi za Esopo na hadithi za Kalume kenge.
Zilitungwa kupumbaza wajinga na kuwapa matumaini hewa.Wewe unafikiri kwa nini zilitungwa?
Mkuu usitumie general understanding yako kama conclusion kwa mitazamo mingine.Adamu na Hawa ndio wanadamu wa kwanza kabisa na walizaa watoto, ukisema mke wa Kaini hakutoka kwenye hao watoto, hiyo 50% yako unaiweka wapi?
Ili useme 50/50 lazima kuwe na machaguo mawili yanayowezekana, njia mbadala ya Kaini kutooa ndugu yake ni ipi? Give me one logical alternative, sihitaji mambo ya asilimia hapa.
Je watungaji wamefanikiwa lengo lao?Zilitungwa kupumbaza wajinga na kuwapa matumaini hewa.
Naona unajiandikia vihadithi vyako vya kubuni, havina logic yoyote, kama kulikuwa na kundi la watu wengine duniani, kwa nini Kaini alipomwua Abeli alifukuzwa na Mungu akawa analalamika kuwa atakuwa mtoro na kuzurura duniani kwa ukiwa?Mkuu usitumie general understanding yako kama conclusion kwa mitazamo mingine.
Mimi naweza ongelea mtazamo tofauti kabsa.
Mtazamo wa kawaida Adamu alikuwa mtu mmoja wa kwanza, pamoja na Hawa ambapo wote tumeamini hivi.
Mtazamo wa hypothesis mwanadamu wa Mwanzo 1 anaweza kuchunguzwa kama kundi/idadi ya wanadamu, huku Adamu wa Mwanzo 2 akiwa mtu maalum ndani ya maandiko kwasababu hakuna sehemu walipo andika aliumbwa mwanadamu mmoja tu.
Wamefanikiwa kwa kiasi fulani.Je watungaji wamefanikiwa lengo lao?
Sawa kimsingi kuna tafsiri inadai hivyo lakini ni muhimu kutenganisha na kile ambacho maandiko yenyewe yanasema.Yeap let dive in mkuu
Uko sahihi nabiiNdio maana nikakuuliza wewe wadogo zako huwa unawaita kuku au mbuzi?
Hujui kusoma vizuri ukaelewa?
Aisee, ukweli ni upi sasa?Wamefanikiwa kwa kiasi fulani.
Wamefanikiwa kupumbaza watu wengi hasa waafrika wasiotaka kutumia akili zao kufikiri wanabaki kuaminishwa ujinga.
Kuna mazuzu mpaka leo hii, karne ya 21 wanaamini kuna maisha baada ya kufa.
Hawapambani wawe na maisha bora hapa duniani. Wanasubiri maisha ya kufikirika huko mbinguni.
Maandiko ya kidini, Biblia ikiwemo imechangia pakubwa kuwapumbaza.
Ooh Well nilitaka tufikie hapa . kama nimetunga hii theory same applies to you mana hata wewe hujanipa hiyo conclusion ya moja kwa moja kwamba aliona dada yake au mdgo ake , wote tumefanya conclusion ambayo haipo popote tumetumia common sense kwahiyo hauna haki yakusema kwamba mimi sipo sahihi na wewe upo sahihi.Naona unajiandikia vihadithi vyako vya kubuni, havina logic yoyote, kama kulikuwa na kundi la watu wengine duniani, kwa nini Kaini alipomwua Abeli alifukuzwa na Mungu akawa analalamika kuwa atakuwa mtoro na kuzurura duniani kwa ukiwa?
Safi!Uko sahihi nabii