Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
Madudu yote haya umeandika lakini haujajibu chochote kwenye hoja yangu, na hiyo ni kwa sababu hauna hoja yoyote yenye mantiki kupingana na hoja zangu.Ooh Well nilitaka tufikie hapa . kama nimetunga hii theory same applies to you mana hata wewe hujanipa hiyo conclusion ya moja kwa moja kwamba aliona dada yake au mdgo ake , wote tumefanya conclusion ambayo haipo popote tumetumia common sense kwahiyo hauna haki yakusema kwamba mimi sipo sahihi na wewe upo sahihi.
Ukweli ni kwamba maandiko yote ya Kidini; BIBLIA, QURAN, TORAH, THE VEDAS, TRIPITAKA, THE KOJIK, THE GURU GRANTH SAHIB, RASTAFAR BIBLE na mengineyo yote.Aisee, ukweli ni upi sasa?
Ok.Ukweli ni kwamba maandiko yote ya Kidini; BIBLIA, QURAN, TORAH, THE VEDAS, TRIPITAKA, THE KOJIK, THE GURU GRANTH SAHIB, RASTAFAR BIBLE na mengineyo yote.
Ni vitabu vya kutungwa na kuandikwa na binadamu wala sio vitabu vya Mungu.
Hakuna Mungu.
Maandiko yote yanayodaiwa kwamba ni ya Mungu, Sikweli ni uongo mtupu.
Ni maandiko ya kibinadamu tu. Yaliyo andikwa na binadamu.
Na kila mtu anajaribu kutetea andiko lake ambalo aliaminishwa na kupumbazwa tangu utotoni.
Lakini, ukweli ni kwamba, hakuna andiko lolote la Mungu.
Mungu hayupo.
Hujakubali tangu mwanzo nlipo kuulza hiyo point yako imeendikwa wapi kama alioa ndugu ? Ukasema ni deductive logic sasa inakuaje tena deductive yako ionekane perfect kuliko ya mtu mwingine? Wakati huo hakuna maandishi ya moja kwa moja juu ya hizo deductive zote mbili , au unataka niseme Sawa uko sahihi wakati ulicho andika hakina ushahidi 100% kama ni kweli au sio kweli ?Madudu yote haya umeandika lakini haujajibu chochote kwenye hoja yangu, na hiyo ni kwa sababu hauna hoja yoyote yenye mantiki kupingana na hoja zangu.
Binadamu hawaumbwi na wala hatukuumbwa.Ok.
Kwa hiyo nani alimuumba mwanadamu?
I mean source.Binadamu hawaumbwi na wala hatukuumbwa.
Binadamu wanazaliwa kwa kuzaliana wenyewe kwa wenyewe.
Hata wewe hukuumbwa.
Mama yako alikuzaa.
Hakuna aliyeumbwa.
Kila mtu alizaliwa.
Hivi unajua maana ya deductive logic kweli au unalitumia tu hilo neno kwa sababu nimekutajia?Hujakubali tangu mwanzo nlipo kuulza hiyo point yako imeendikwa wapi kama alioa ndugu ? Ukasema ni deductive logic sasa inakuaje tena deductive yako ionekane perfect kuliko ya mtu mwingine? Wakati huo hakuna maandishi ya moja kwa moja juu ya hizo deductive zote mbili , au unataka niseme Sawa uko sahihi wakati ulicho andika hakina ushahidi 100% kama ni kweli au sio kweli ?
Bado haimake sense mkuu hizo ni perception zako lakini hakuna direct proof kwamba alioa ndugu, bado Kuna vitu vingi huvijui naweza kusema hvo
Huyo mtu wa kwanza kabisa alizaliwa na nani?Binadamu hawaumbwi na wala hatukuumbwa.
Binadamu wanazaliwa kwa kuzaliana wenyewe kwa wenyewe.
Hata wewe hukuumbwa.
Mama yako alikuzaa.
Hakuna aliyeumbwa.
Kila mtu alizaliwa.
Hana majibu ya kueleweka na hili swali, hata mimi nimemuuliza.Sheria ya kuoa haikuharamisha kuoa ndugu. Walioana wenyewe kwa wenyewe.
Mbona Ibrahim alimuoa Sarah nduguye?
Na Mama yake.Huyo mtu wa kwanza kabisa alizaliwa na nani?
Umeamua kutumia profanity (hujui kusoma kwa ufahamu) nisinge penda kujibu hyo part lakini kama ni hivo sidhani hata wewe kama unaelewa deductive logic kwasababu hakuna taarifa iliopo kabla inayo sema ndugu walikua wakiolewa kwa hyo umetumia kanuni hyo kuhitimisha , hakuna kanuni kama hyo kabla kwa kipindi cha adamu . Kwahyo wrong interpretation ya deductive logic ilianza kwako.Hivi unajua maana ya deductive logic kweli au unalitumia tu hilo neno kwa sababu nimekutajia?
Kama haujaelewa hoja zangu ni wazi hujui kusoma kwa ufahamu, na unasoma ili ubishane siyo kueleweshwa uelewe.
Wewe unataka source gani kwamba Mama yako alikuzaa?I mean source.
Mwanzo 20:12Umeamua kutumia profanity (hujui kusoma kwa ufahamu) nisinge penda kujibu hyo part lakini kama ni hivo sidhani hata wewe kama unaelewa deductive logic kwasababu hakuna taarifa iliopo kabla inayo sema ndugu walikua wakiolewa kwa hyo umetumia kanuni hyo kuhitimisha , hakuna kanuni kama hyo kabla kwa kipindi cha adamu . Kwahyo wrong interpretation ya deductive logic ilianza kwako.
Huyo mama wa kwanza kuzaa mtoto, yeye alitoka wapi?Wewe unataka source gani kwamba Mama yako alikuzaa?
Au huamini kwamba ulizaliwa na Mama yako?
Unaandika maelezo marefu sana ila haujibu unacho ulizwa.Umeamua kutumia profanity (hujui kusoma kwa ufahamu) nisinge penda kujibu hyo part lakini kama ni hivo sidhani hata wewe kama unaelewa deductive logic kwasababu hakuna taarifa iliopo kabla inayo sema ndugu walikua wakiolewa kwa hyo umetumia kanuni hyo kuhitimisha , hakuna kanuni kama hyo kabla kwa kipindi cha adamu . Kwahyo wrong interpretation ya deductive logic ilianza kwako.
Umeamua kutumia profanity (hujui kusoma kwa ufahamu) nisinge penda kujibu hyo part lakini kama ni hivo sidhani hata wewe kama unaelewa deductive logic kwasababu hakuna taarifa iliopo kabla inayo sema ndugu walikua wakiolewa kwa hyo umetumia kanuni hyo kuhitimisha , hakuna kanuni kama hyo kabla kwa kipindi cha adamu . Kwahyo wrong interpretation ya deductive logic ilianza kwako.