Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Hakutoka mahali.Huyo mama wa kwanza kuzaa mtoto, yeye alitoka wapi?
Point missed! Hujajibu swali langu. Narudia, mtu wa kwanza kabisa duniani, kabla ya akina mama wote kuwepo, alitoka wapi?Na Mama yake.
Umesema hakuna taarifa ya ndugu kuoana.Hatuongelei mambo ya Abraham mkuu tupo kwa kaini kuoa ndugu yake
Nipe hicho kifungu
Kwa hiyo hakuna chanzo.Hakutoka mahali.
Alikuwa hapahapa ulimwenguni.
Na alizaliwa na Mama yake pia.
Kila mtu hapa ulimwengu alizaliwa na Mama yake.
Watu wanazaliwa Milele na Milele.
Nmekujibu mda sana, maana ake unatoa hitimisho kulingana na taarifa au kanuni zilizopo ndomana nmeuliza je kunataarifa yoyote au kanuni iliyo sema ndugu walikua wanaolewa hapo kabla, kwahyo kaini nae alioa ndugu kwa sababu hyo ?Unaandika maelezo marefu sana ila haujibu unacho ulizwa.
Unajua maana ya deductive logic?
Shikilia hapo kwanzaBado haimake sense mkuu hizo ni perception zako lakini hakuna direct proof kwamba alioa ndugu, bado Kuna vitu vingi huvijui naweza kusema hvo
Haiwezekani mtu awepo bila kuzaliwa kutoka kwa mwanamke.Point missed! Hujajibu swali langu. Narudia, mtu wa kwanza kabisa duniani, kabla ya akina mama wote kuwepo, alitoka wapi?
Dah! Kweli JF kuna mambo. Sasa kama kila mtu alizaliwa na mama yake tangu milele na milele, ina maana hao akina mama walikuwa wanaishi kwenye hewa tupu kabla ya dunia kuwepo?Hakutoka mahali.
Alikuwa hapahapa ulimwenguni.
Na alizaliwa na Mama yake pia.
Kila mtu hapa ulimwengu alizaliwa na Mama yake.
Watu wanazaliwa Milele na Milele.
Dunia haijawahi Kutokuwepo.Dah! Kweli JF kuna mambo. Sasa kama kila mtu alizaliwa na mama yake tangu milele na milele, ina maana hao akina mama walikuwa wanaishi kwenye hewa tupu kabla ya dunia kuwepo?
Inshort, hoja yako inapingana na akili ya kawaida tu.
Mkuu umefwatilia vizuri nmesema hizo taarifa hazikuwepo kipindi cha kaini au kabla ya kaidi sizungumzii Habari ya Abraham hapa, au mambo yaliyo tokea baada ya kaini nazungumzia life time ya kainiUmesema hakuna taarifa ya ndugu kuoana.
Kama Ibrahim ambae alikuja baada ya Kaini, alimuoa dada yake inashindikanaje kwa Kaini kumuoa dada yake?
Kanuni ya kwanza kabisa ya Mungu tangu uumbaji ni zaeni mkaongezeke mkaijaze dunia.Nmekujibu mda sana, maana ake unatoa hitimisho kulingana na taarifa au kanuni zilizopo ndomana nmeuliza je kunataarifa yoyote au kanuni iliyo sema ndugu walikua wanaolewa hapo kabla, kwahyo kaini nae alioa ndugu kwa sababu hyo ?
Wewe unabisha na hujui lolote.Mkuu umefwatilia vizuri nmesema hizo taarifa hazikuwepo kipindi cha kaini au kabla ya kaidi sizungumzii Habari ya Abraham hapa, au mambo yaliyo tokea baada ya kaini nazungumzia life time ya kaini
Hii nadharia yako ya steady state Theory kwamba ulimwengu hauna mwanzo ilishapitwa na wakati na ikatupwa kule tangu miaka ya 1960 baada ya kugundulika kwa cosmic microwave background radiation.Dunia haijawahi Kutokuwepo.
Dunia imekuwepo milele.
Na binadamu wanazaliana milele.
Huelewi nini?
Huyo jamaa either kamezeshwa vitu havijui or anafanya kusudi kubisha ili kuendeleza mjadala.Kanuni ya kwanza kabisa ya Mungu tangu uumbaji ni zaeni mkaongezeke mkaijaze dunia.
Hiyo ndiyo kanuni kuu, na ili uijaze dunia ukiwa na watu wawili tu na watoto wao, njia pekee ya kibiolojia inayowezesha hiyo kanuni kutimia ni watoto wao kuoana.
Sheria ya kuzuia ndugu kuoana isingewezekana kipindi hicho kwa sababu isingetekelezeka hilo agizo. Sijui huelewi nini wakati kwa akili ya kawaida tu kila kitu kiko open.
Yupo kubishana tu, facts tumempa za kutosha bado anazunguka zunguka na blah blah ambazo hata hazieleweki.Wewe unabisha na hujui lolote.
Kama kuna ushahidi wa Ibrahim kumuoa dada yake.
Unataka uthibitisho gani kwa kaini kumuoa dada yake? Otherwise sema wewe alimuoa mtoto wa mzee nani.
Wewe ni mmoja wapo ulie rukia gari kwa mbele hivi unaelewa nini msingi wangu wa kutaka uthibitisho wa maandiko ?Wewe unabisha na hujui lolote.
Kama kuna ushahidi wa Ibrahim kumuoa dada yake.
Unataka uthibitisho gani kwa kaini kumuoa dada yake? Otherwise sema wewe alimuoa mtoto wa mzee nani.
Sahihi kabisa, hakuna haja ya kuendelea na huu mjadala, maana hata anachokipinga hakijui, ni kama kuna sehemu tu anacopy maelezo kwa ajii ya kubishana tu.Huyo jamaa either kamezeshwa vitu havijui or anafanya kisudi kubosha ili kuendeleza mjadala.
Hakuna anaerukia gari kwenye jukwaa huru, ungemtumia pmWewe ni mmoja wapo ulie rukia gari kwa mbele hivi unaelewa nini msingi wangu wa kutaka uthibitisho wa maandiko ?
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo, Hata chanzo cha kila kitu kitahitaji kuwa na chanzo chake kingine.Kwa hiyo hakuna chanzo.
Sikweli.Je wanavyosema dunia ina bilions of years ni kweli?