Je, Kulikuwa na Machafuko Kabla ya Mwanadamu?

Ni hadithi kwako usiye jua Biblia.
Biblia nimeisoma kuliko hata wewe.

Nimeisoma Biblia kama somo nikiwa Seminary.

Nimesoma Bible Knowledge na nikapata daraja A katika mtihani wa Necta.

Kwa hiyo huniambii kitu kuhusu Biblia.

Pia nimesoma Philosophy of religion the Anthology.

Kwa hiyo huniambii kitu na wala hunidanganyi kitu kuhusu Biblia na Dini kwa ujumla.
Kasome na fanya utafiti kuhusu Biblia ndio uje na conclusion kwamba ni hadithi. Kwa mfano amri kumi ni hadithi? Au kuambiwa kuwa watakufa?
Biblia imejaa logical contradictions za kutosha.

Kama unabisha sema nikuwekee hapa. Ili uone kwamba sibahatishi. Namaanisha ninachokwambia.
 
Haha, umejitahidi sana kukariri hiyo google definition ya infinite regress lakini unachanganya kitu kimoja kikubwa mno, ulimwengu wetu umeundwa na vitu vinavyobadilika na vinavyotegemea vitu vingine ili viwepo.

Kitu chochote kinachotegemea kingine hakiwezi kuwa chanzo cha mwanzo, lazima kuwe na chanzo cha kwanza ambacho chenyewe hakitegemei kitu kingine, yani kiwe nje ya sheria za physics ya ulimwengu wetu.
Haha, umecheza vizuri sana na maneno ya google, lakini umejifunga goli lingine la mkono. Kama ukisema hakuna ubaguzi, na kila kitu lazima kitii sheria moja ya kuwa na chanzo kilichokizaa, mbona hapo awali ulidai binadamu na dunia wamekuwepo milele bila mwanzo?

Mbona hukuwawekea hiyo sheria yako hapo mwanzo? Huoni kuwa wewe ndiye unayefanya special pleading kwa kuilazimisha dunia iwe ya milele wakati sayansi inasema ina mwanzo?
 
Sasa hii theory yako ina tofauti gani na pre-adamite theory iliyo sehemu ya mleta uzi?😂
We jamaa unajua hata hiyo Pre-Adamite theory ina maana gani kweli?

Hiyo theory inasema kulikuwa na watu wengine kabla ya Adamu, sasa kama kulikuwa na watu wengine, maana yake Kaini angeoa huko nje, na kusingekuwa na haja ya yeye kumuoa dada yake!

Mimi nakwambia Adamu ndo wa kwanza, yeye anasema kulikuwa na wengine, hapa nani mwezi mchanga kati yangu na wewe?
 
Na Mama yake.
Hapa ndo Athieat huwa wanapotea na kukimbia...

Unaposema maisha yana chanzo nacho ni mama... Unakuwa umedogosha the natural order of energy or vibration

We both know that energy is neither created nor destroyed kwanini tu nadhani complex arrangement of atoms kama mwili wa mwanadamu una chanzo chake?

Kwanini tusijisemee ya kuwa na sisi ni infinite beings.. Yaani hata kama tutaenda extinct siku moja haimaanishi eti tumepotea... Ile spirit ambayo ndo life lenyewe itaendelea ku roam around ila is ipate avatar?
 
Akina nani hao?.
Viongozi wa dini.

Maelfu ya Viongozi wa dini na manabii wameshapumbaza maelfu ya waumini kupitia hizi habari za uongo za Biblia.

Nitakupa mifano ili ujue kwamba naongea kwa facts.

Yule mchungaji Paul Mackenzie wa kule msitu wa Shakahola Kenya. Aliwaaminisha waumini wake wafunge hadi kufa ili wakamuone Yesu. Wakafunga na wengi wakafa. Ila yeye alibaki akila na kunywa. Na sasa anasotea jela kwa kesi ya mauaji.

Mwamposa hapo Kawe Tanganyika packers anapumbaza waumini wake kwa kuwauzia maji ya upako. Kwamba yanaleta mafanikio.

Hii ni mifano hai ya namna gani watu wanapumbazwa kupitia hizo hadithi uchwara za Biblia.
Wakati Biblia inasema asiye fanya kazi na asile. Unajikanyaga sana.
Hao wachungaji na manabii wanafanya kazi gani kama sio utapeli wa kulaghai waumini na kuwadanganya ili wapate ulaji wao?

Kama asiyefanya kazi na asile, Hao wachungaji na wao wakafanye kazi zingine za nguvu, Sio kupumbaza wajinga wawape sadaka na zaka ambazo ndio ulaji wao huo.

Na wala hakuna kazi yoyote wanafanya zaidi ya kuhubiri mahubiri ya kitapeli ya ya habari za kitapeli za Biblia.
 
Na bado tunapata sifa za Mwenyezi Mungu kwamba hana mwanzo!

Kwa nini mawazo yetu yajikite kwenye 'mwanzo' tu?

Je haiwezekani Mungu alishaziumba 'mianzo' kibao, walioumbwa wakaishi zao trillions of years and then Mungu akazigharikisha ama kuzipiga 'kiama' na kuanzisha 'mwanzo' mpya infinitevely?

Ambapo, hata sisi tutakapopigwa kiama, lolote lawezekana baada yetu,maana hakuna uhakika kama kiama chetu ndicho kitakuwa ni mwisho wa ratiba za muendelezo wa uumbaji wa Mwenyezi Mungu!

Ijapo kiama chetu ndicho kitakuwa mwisho wa maisha, umilele wa mwenyezi Mungu mbona utapungua?

Katika fikira, ninaungana na mtoa mada kutafakari kilichokuwepo kabla ya mwanzo, kwa sababu hata vilindi vya maji pamoja na mwanga havikutakiwa kutajwa kuwepo, maana navyo viliumbwa pia.
 
Haha, umejitahidi sana kukariri hiyo google definition ya infinite regress
Hiyo akili yako finyu ndiyo inafikiri kwamba kila usichokijua wewe na mwingine hajui.

Kwamba wengine wakijua, hawajui from their understanding but from Google.

Kwamba unavyojua wewe, Google haivijui.

Labda tu nikwambie, kwa sababu najua hujui na ulikuwa hujui, Infinite regress ni hoja iliyoibuliwa na Aristotle.

Kwa sababu akili yako inafikiri kwamba kila unayejadili naye humu anakariri.

Hii ni hoja ambayo iliibuliwa na Aristotle.

Na wala ulikuwa hujui.
Ulimwengu unategemea nini ili uwepo?

Thibitisha.
Nilikwambia pale mwishoni kama ulisoma vizuri, Maana najua husomi vizuri kwa ufahamu unakurupuka tu.

Nilisema hivi...👇

Kama kila kitu kilichopo kitahitaji kuwa na chanzo chake, Hata chanzo cha kila kitu kitahitaji kuwa na chanzo chake kingine.

Hivyo kutakuwa na msururu mrefu wa vyanzo vingi visivyokuwa na mwisho.

Na kama SI lazima kila kilichopo kinahitaji kuwa na chanzo, Hata Ulimwengu na vyote vilivyomo except man-made things, Havina na havihitaji kuwa na chanzo.


👆...Soma hapo juu vizuri uelewe...👆
Mbona hukuwawekea hiyo sheria yako hapo mwanzo? Huoni kuwa wewe ndiye unayefanya special pleading kwa kuilazimisha dunia iwe ya milele wakati sayansi inasema ina mwanzo?
Kwa hiyo kama SIO lazima kwamba kila kilichopo kinahitaji kuwa na chanzo, Hata Ulimwengu hauna na wala hauhitaji kuumbwa.

Soma uelewe.
 
Hapa ndo Athieat huwa wanapotea na kukimbia...
Athieat❌️

Atheist✅️

Wewe hata kuandika hujui.
Wewe hata kuandika Atheist hujui.

Una andika Athieat❌️

Unachanganya lugha tu, kwa kuandika pumba na mashudu.

Wala hakuna point yeyote.
 
Athieat❌️

Atheist✅️

Wewe hata kuandika hujui.

Wewe hata kuandika Atheist hujui.

Una andika Athieat❌️

Unachanganya lugha tu, kwa kuandika pumba na mashudu.

Wala hakuna point yeyote.
It is only a fool who cares about puctuation

Nilisha kwambia ya kuwa wewe na wenzio mnajiifanya mna logic uchwara, wadanganyeni wengine na mimi nisione

I'll always point out your insignificant objectivity ya uchwara wa kukosoa dini
 
Haha, kaka umepaniki hadi ukaenda Google haraka haraka kutafuta jina la Aristotle ili uje hapa na hoja uchwara za kukufanya uonekane na wewe zimo kumbe debe tupu, umefeli vibaya mno.

Aristotle aliandika kuhusu Infinite Regress, na alifanya hivyo ili kuikataa na kuithibitisha dhana yake ya unmoved mover, yaani unamtumia mwanafalsafa aliyesema lazima kuwe na chanzo cha Kwanza ili kutetea hoja yako kuwa hakuna Chanzo cha Kwanza?
Ulimwengu unategemea nini ili uwepo?

Thibitisha.
Safi sana, unapaswa kuuliza maswali yenye akili kama haya, ulimwengu wetu umeundwa na vitu vinavyobadilika, vinavyoanza na kuisha, kimantiki, kitu chochote ambacho hakina ulazima wa kuwepo hakiwezi kujitegemea chenyewe, lazima kitegemee kitu chenye ulazima wa kuwepo ambacho chenyewe hakina mwanzo wala mwisho.

Kama ulimwengu ungekuwa unajitegemea wenyewe, usingekuwa na mwanzo, usingekuwa na mabadiliko, na kusingekuwa na uharibifu wa nishati hii ni basic physics, unaijua?
Naona bado unakariri ule ule usemi wako wa Google bila kuelewa! Narudia kumuelewesha tena maana unaonekana una dondoo lakini huna uelewa, sheria ya mantiki haisemi kila kilichopo kina chanzo, inasema hivi kila kilichoanza kuwepo kina chanzo, ulimwengu una mwanzo kwahiyo unahitaji chanzo.

Chanzo cha Kwanza hakijaanza kuwepo, kipo tangu milele, kwahiyo hakihitaji chanzo kingine, huu utofauti mdogo tu unakushinda kuelewa? Come on, use your brain.
 
Ukiachana na dhana za Ki biblical

Dunia Kamwe isingekuwa smooth... Kuna nyakati, kuna hurricanes, kuna tectonic movements.. Kuna vitu vingi tu vya kusababisha machafu ko na hata kiumbe asihusike

Mm naona dini zimewaharibu watu wengi sana
Point yako ni ipi haswa hapa ?
 
Yale yote ambayo ni nadharia huenda yakawa na ukweli kabisa
Good.
Hili ni swala la knowledge ya kawaida tu, ambapo kila mtu inabidi aelewe kwamba biblia ina Multifaceted complications kwahiyo baadhi ya nadharia znaweza zikawepo kwasababu biblia haijaeleza kilakitu kwa uwazi.
 
Good.
Hili ni swala la knowledge ya kawaida tu, ambapo kila mtu inabidi aelewe kwamba biblia ina Multifaceted complications kwahiyo baadhi ya nadharia znaweza zikawepo kwasababu biblia haijaeleza kilakitu kwa uwazi.
Hakika
Na zimetumia lugha ya mafumbo ili tuweze kupambanua spiritual essence ya vitu vilivyo kwisha kuwepo
 
Hakika
Na zimetumia lugha ya mafumbo ili tuweze kupambanua spiritual essence ya vitu vilivyo kwisha kuwepo
Baadhi ya waumini wa dini huchoka kiakili wanapokutana na vifungu fulani na hivyo kushindwa kuelewa nadharia zilizomo ndani yake pamoja na maana ya kina ya kile kilichoandikwa, kama hao wanao niambia kaini alioa ndugu yake na hawataki kubishiwa na hawana evidence wafia dini ni kazi kweli kweli.
 
Biblia imeanza kwa kusema hapo mwanzo(time) M-ngu aliziumba Mbingu(space) na Nchi(matter) sasa swali ni kuwa je kuna kiumbe chochote kinaishi nje ya hayo mambo matatu?
Kama jibu ni hapana basi hakukuwa na chochote hapo kabla ya mwanzo.
 
Haha, kaka umepaniki hadi ukaenda Google haraka haraka kutafuta jina la Aristotle ili uje hapa na hoja uchwara za kukufanya uonekane na wewe zimo kumbe debe tupu, umefeli vibaya mno.
Debe tupu ni wewe zumbukuku.

Tabularasa.

Halfwit bastard.
Aristotle aliandika kuhusu Infinite Regress, na alifanya hivyo ili kuikataa na kuithibitisha dhana yake ya unmoved mover, yaani unamtumia mwanafalsafa aliyesema lazima kuwe na chanzo cha Kwanza ili kutetea hoja yako kuwa hakuna Chanzo cha Kwanza?
Thibitisha kuna huyo unayemwita unmoved mover.

Sio kufosi imani zako uchwara ulizo aminishwa na kupumbazwa.
Ulimwengu ulianza kuwepo lini?
Chanzo cha Kwanza hakijaanza kuwepo, kipo tangu milele, kwahiyo hakihitaji chanzo kingine, huu utofauti mdogo tu unakushinda kuelewa? Come on, use your brain.
Hata Ulimwengu haujaanza kuwepo.

Umekuwepo milele.
 
It is only a fool who cares about puctuation

Nilisha kwambia ya kuwa wewe na wenzio mnajiifanya mna logic uchwara, wadanganyeni wengine na mimi nisione

I'll always point out your insignificant objectivity ya uchwara wa kukosoa dini
Find someone of your league to parallel your mediocrity.

Nincompoop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…