Je kulikuwa na ulazima wa CCM kufanya maadhimisho ya miaka 48 badala ya kusubiri miaka 50

Je kulikuwa na ulazima wa CCM kufanya maadhimisho ya miaka 48 badala ya kusubiri miaka 50

Mayor of kingstown

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
2,898
Reaction score
4,156
Nawasilisha

Bado nafikiria kulikuwa na ulazima gani wa CCm kuwahi kufanya maadhimisho ya miaka 48 wakati ingefaa na ingekua bora zaid kama wange fanya ikifikisha miaka 50

Au kuna sababu nyingine
 
Nadhani ni njia ya kuhakikisha CCM na maudhui yake hayafifii kwenye vyombo vya habari katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi.
 
Yes ni Lazima Maana Ikifikisha Miaka 50 ... Ni 2027

And by that time it could ni chama Cha upinzani ... hakuna ajuaye kesho imebeba Nini!

Ni vizuri kutumia fursa ingali Bado muda haujakutupa mkono
 
UCHAFUZI MKUU.
Kampeni kabla ya muda wa kampeni kuhalalisha wizi wa kura utakaofanywa.
Ficha ujinga wako.Yaani CCM wasisheherekee kuzaliwa kwake kwa sababu kuna uchaguzi mwaka huu?
Jengeni Chama wacheni visingizio vya kijinga.
 
Back
Top Bottom