Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,898
- 4,156
Mama.anaupiga mwingi.mitano tena. Kibaya chajitembeza etc etcNawasilisha
Bado nafikiria kulikuwa na ulazima gani wa CCm kuwahi kufanya maadhimisho ya miaka 48 wakati ingefaa na ingekua bora zaid kama wange fanya ikifikisha miaka 50
Au kuna sababu nyingine
UCHAGUZINawasilisha
Bado nafikiria kulikuwa na ulazima gani wa CCm kuwahi kufanya maadhimisho ya miaka 48 wakati ingefaa na ingekua bora zaid kama wange fanya ikifikisha miaka 50
Au kuna sababu nyingine
Lakini ni kama wametumia sana Nguvu kubwa na outcome imekua sio ya kushtua sana, Ni kwamba Watanzania wameanza kuamka ?Nadhani ni njia ya kuhakikisha CCM na maudhui yake hayafifii kwenye vyombo vya habari katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi.
UCHAFUZI MKUU.UCHAGUZI
Ficha ujinga wako.Yaani CCM wasisheherekee kuzaliwa kwake kwa sababu kuna uchaguzi mwaka huu?UCHAFUZI MKUU.
Kampeni kabla ya muda wa kampeni kuhalalisha wizi wa kura utakaofanywa.
Hawa wanaitwa pingapinga.Yaani hata CCM wakifanya mikutano yao atapinga.Duh ndugu yangu unawapingia mambo yao hata wakisherehekea.