Je Kulindana inafaa ?

Je Kulindana inafaa ?

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,750
Je inafaa kumlinda mpenzi wako au tuseme mali yako?? Na kuna mipaka ya kufanya hivyo ?
 
Kumlinda kivipi, ukiwa unamaanisha kumfuata kila anapoenda hiyo ni karaha inakuwa kama hakuna kuaminiana, lakini kama kumlinda as providing protection as needed sioni tatizo
 
Kumlinda kivipi, ukiwa unamaanisha kumfuata kila anapoenda hiyo ni karaha inakuwa kama hakuna kuaminiana, lakini kama kumlinda as providing protection as needed sioni tatizo

Namaanisha hako kapengee cha mwanzo ,kuna ile nyimbo ukimlinda usimlinde...! Na inakuwaje karaha ? Yaani uwachiwe tu uwanja wako ,inawezakana wivu kuwa moja ya aina ya lindo ?
 
Muulize JK kama inafaa kuwalinda Nkya na Mponda na ukaua maelfu ya wananchi!
 
Back
Top Bottom