Mwanakanenge Member Joined Nov 25, 2012 Posts 75 Reaction score 17 Dec 7, 2012 #1 Habari, Naomba kuuliza kama kuna aina tofauti za kozi za Post graduate Diploma in Education au iko mmoja tu? Nikisema aina mbalimbali naamanisha Post Graduate Diploma in Education with.....
Habari, Naomba kuuliza kama kuna aina tofauti za kozi za Post graduate Diploma in Education au iko mmoja tu? Nikisema aina mbalimbali naamanisha Post Graduate Diploma in Education with.....
Nyakageni JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 15,045 Reaction score 5,108 Dec 7, 2012 #2 Soma ualimu mkuu, usikimbie. Post graduate ya Education ninayofahamu mimi ni ya DUCE ambayo Dr. Kitila Mkumbo aliipost. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Soma ualimu mkuu, usikimbie. Post graduate ya Education ninayofahamu mimi ni ya DUCE ambayo Dr. Kitila Mkumbo aliipost.
S SG8 JF-Expert Member Joined Dec 12, 2009 Posts 3,955 Reaction score 2,133 Dec 8, 2012 #3 Nyakageni said: Soma ualimu mkuu, usikimbie. Post graduate ya Education ninayofahamu mimi ni ya DUCE ambayo Dr. Kitila Mkumbo aliipost. Click to expand... Kongwe kuliko zote ni ile ya Mlimani na OUT...PGDE iko moja tu basi
Nyakageni said: Soma ualimu mkuu, usikimbie. Post graduate ya Education ninayofahamu mimi ni ya DUCE ambayo Dr. Kitila Mkumbo aliipost. Click to expand... Kongwe kuliko zote ni ile ya Mlimani na OUT...PGDE iko moja tu basi
Mwanakanenge Member Joined Nov 25, 2012 Posts 75 Reaction score 17 Dec 8, 2012 Thread starter #4 Asanteni kwa kunielewesha